Tumekuwa tunasoma na kusikia mengi juu ya nguvu ya ulimi ilivyo na athari zake pale unaposhindwa kudhibitiwa. Licha kuwa ulimi umekuwa umepewa uzito kuwa watu waudhibiti ili waweze kudhibiti maisha yao basi kuna zaidi ya ulimi kile kinachopaswa kudhibitiwa maana ndicho kinachokwamisha wengi wakwame na wasipige hatua na maisha yao. Naona unayo shauku kubwa ya …
543; February 14, Kila eneo utakalo kuwa mgeni tafuta mtu aliye mwenyeji.
Maisha ni sawa na safari ndefu sana yenye kukaribisha mambo mageni yenye kutupa kufahamu juu ya uhalisia wa mambo ulivyo. Ugeni una gharama nyingi ukiangalia kwa kina. Sababu ya ugeni wengine hukosea na hata kufanya mambo ambayo wazi wazi yanaonyesha ugeni wao ulivyo na unaonekana na wengine. Ugeni sio kosa katika safari ya kujifunza mbali …
Continue reading "543; February 14, Kila eneo utakalo kuwa mgeni tafuta mtu aliye mwenyeji."
542; February 13, Changamoto ifanye kuwa malighafi na ladha ya Maisha ipo katika ugumu.
Just as nature takes every obstacle, every impediment, and works around it — turns it to its purposes, incorporates it into itself — so, too, a rational being can turn each setback into raw material and use it to achieve its goal. - Marcus Aurelius, Meditations Kama ilivyo asili kuweza kubadili vikwazo na kufanya kwa namna yake. Ndivyo ilivyo kwa kiumbe …
541; February 12, Mambo yakikwendea vibaya kumbuka mambo mazuri yanayoendelea katika maisha yako
Ni kawaida na hulka ya watu na hata wewe pale unapoingia katika wakati mgumu katika maisha na ukaona kama kila kitu ni kigumu na hukuwahi kuwa na nafasi nzuri na mambo yalikwendea vizuri wakati fulani. Maisha utapitia magumu lakini si wakati wote kuwa mambo yatakaa hivyo ila ni kama tu u mtu mwenye shukrani. Kumbuka …
540; February 11, Kinachokusumbua wewe na wengine ni tafsiri juu ya matukio ya Maisha
"What disturbs people, these are not things, but the judgements relating to things" ~ Epictetus Jioni ni wasaa mzuri wa kuangalia na kuipima siku yako ulivyoweza kuishi. Ukiangalia kwa ubora basi utajipa nafasi ya kujiuliza jambo lipi bora umefanya, jambo lipi umekosea na tatu mambo yepi unatakiwa kuyaboresha ikiwa kesho itatokea. Ukifanya hivi utayaimarisha maisha …
539; February 10, Ukitulia una muda mwingi wa kufanya vitu maishani.
Value your Time ~ Seneca ( Thamini Muda wako ). Ni rahisi sana watu kukushangaa unapataje muda wa kufanya mambo mazuri na husahau wanapataje muda kuupoteza pasipo kufanya mambo ya msingi na maisha yao. Ni rahisi kuonekana wa ajabu kwa anayesoma anapataje muda wa kunoa kipaji chake, kusoma vitabu na hata kuanzisha biashara na watu …
Continue reading "539; February 10, Ukitulia una muda mwingi wa kufanya vitu maishani."
538; Uchambuzi wa Kitabu, The SCHOOL of MONEY by Olumide Emmanuel ( Shule ya Fedha )
Shule ya fedha ilifaa watu na jamii kuifahamu toka zamani wakiwa nyumbani na shuleni hata kabla ya kuingia katika uhalisia wa maisha. Watoto wangefundishwa kuwa msingi wa fedha ni thamani na fedha imejificha katika kutoa thamani kupitia maeneo 10 muhimu katika maisha yao. Wangefundishwa kuwa fedha iko katika kuwa na bidhaa au biashara. Wangefundishwa kuwa …
537; February 09, Kama hutakaa usome kitabu basi hiki kiwe kitabu chako kuhusu kuwa na lengo
Rejea ya maarifa; Never ever ever ever Give Up by Richard Duszczak ( Kamwe Usije kukata Tamaa ) Habari Rafiki naamini unaendelea na hatua zako bora zaidi ya wakati uliopita. Naamini ile hamasa ya huu ni mwaka mpya bado unaichochea ili uweze kufikia kilele cha mafanikio yako mwaka huu kwa kuwa na lengo au malengo. …
536; February 08, Ujinga kiini cha Mateso na kweli kama uhuru tunaopaswa kuwa nao.
Rejea ya maarifa; UNDERSTANDING IGNORANCE; The Suprising Impact of What We don't know by Daniel R. DeNicola ( KUUFAHAMU UJINGA; Athari ya Mshangao kwa tusivyovijua ) Nukuu; Knowledge is a big subject. Ignorance is bigger. And it is more interesting ~ Stuart Firestein Maarifa ni somo kubwa lakini si kubwa kushinda ujinga. Na hiki kinastaajabisha …
535; February 07, Ukiwa nje ya kiwanja unaona wachezao wanakosea ila hujajua maana huchezi wewe
Maisha kila siku ni darasa na fursa yake kwetu ni kupokea kuwa maisha ni darasa la kudumu. Huenda cheti cha darasani kikakutana na uhalisia mwingine ambao hata watu hawakuutegemea na kuona kumbe kuna mengi ambayo cheti huenda kisipatie majibu isipokuwa cheti chako cha kudumu ambao ni ubongo wako. Ubongo wako ( Akili yako ) ndio …