Ufanyikaji wa biashara wa eneo moja na lingine hufanywa tofauti na kama ni mfanyabiashara anayetembea maeneo tofauti tofauti anapata vitu vipya na vitu vipya vinasaidia kukuza biashara yake. Kutembea eneo mbali na unapofanya kazi yako au shughuli za kujitafutia riziki kunapanua kuona mambo au kujifunza njia mpya ya kuendesha biashara au uuzaji wa bidhaa au …
Continue reading "Tembea Maeneo tofauti tofauti ili Ujifunze Mambo Mapya."