483; JAMII 100, Unapoukumbuka mwili na roho usisahau kuwa akili hulishwa kama ilivyo roho na mwili hulishwa

Rejea ya kitabu; The SCIENCE of GETTING RICH by Wallace D. Wattles ( Sayansi ya kupata Utajiri ) Habari rafiki na mpenda kujifunza mambo mapya kila siku. Kama ulikuwa hujatambua kuwa katika maisha yetu ya kila siku tunaenda kujishughulisha katika kazi, vipaji na biashara zetu ili tuweze kuulisha mwili, roho na hata akili zetu. Mbali …

482; JAMII 100, Kitabu hiki kiwe katika moja ya vitabu vyako 100 utakavyokuwa unavisoma kila siku za maisha yako. Kitabu; The Sc

Kitabu; The Science of Getting RICH by Wallace D. Wattles ( Sayansi ya kuwa Tajiri ) Habari Rafiki. Ni siku mpya, mwezi mpya na mwezi wa mwisho kwa mwaka 2018. Huu ni mwezi wenye fursa nyingi na kama watu hawatakaa vizuri ni mwezi wa kupoteza kile ambacho kwa mwaka mzima umekuwa unakipigania. Kuwa hai na …

481; JAMII 100, Msimu wa sikukuu za mwisho wa mwaka na mambo 5 muhimu ya kujikumbusha yanayoweza kukusaidia hatua zako ziwe bora mara baada ya sikukuu za mwisho wa mwaka kuisha.

Mwaka ndo unaishia ishia na kama ulisema kabla ya mwaka kuisha ungeweza kutimiza baadhi ya mambo basi siku zilizobaki uishe ni chache. Ukiangalia maisha na kule ambako umetoka tokea iwe Januari na hata sasa basi unaweza kuona ni kiasi gani mwaka sio kipindi kirefu cha kusema utafanya kesho kesho na mwisho miaka inakuwa inakatika tu. …

480; JAMII 100; Dunia ina utajiri ukijua kuona kuanzia kuona katika mfumo mzima wa fikra zako na ukihusianisha ulichonacho ( ujuzi, kipaji, maarifa, maono ) na mazingira yanayokuzunguka.

Rejea ya kitabu; FURSA 3000 ZINAZOKUZUNGUKA AFRIKA MASHARIKI na MTAJI WA KUANZIA na David R. G. Nashon ANZA MWENDO; Ijue Fursa, Jua Njia za kupata mtaji na tengeneza mfumo wa kutangaza biashara yako. Habari Rafiki, kila siku ni siku mpya ya kuanza na kuchukua hatua kwa maisha ambayo tunatamani kuwa nayo. Na pia kama ambavyo …

479; Tafakari ya asubuhi, Vile unavyoendelea kughairisha mambo ndivyo unavyoendelea kujifunga na gharama inavyozidi kuongezeka.

Procrastination is the most expensive invisible cost in business today ~ Rory Vaden Kughairisha kunagharimu zaidi katika maisha kadri siku ziendavyo ndivyo gharama yake inavyozidi kuwa kubwa ukilinganisha na hapo mwanzo. Rafiki habari ya siku mpya. Leo ni siku ya ushindi na ni siku ya pekee imekuja kwetu kama zawadi na kuwa hai hata sasa …

478;Tafakari, Vile mambo madogo madogo yanavyozalisha mambo makubwa.

Habari Rafiki, mambo madogo madogo ni makubwa huenda kusikia isiwe mara yako ya kwanza. Huu ni uhalisia wa mifano dhahiri kabisa katika maisha ambayo tunaishi. Tunaona vile tone hadi tone liwezavyo jaza ndoo na tunaona namna mapigo ya nyundo moja hadi ya pili na kuendelea inavyoondosha mwamba mkubwa na pia tunaona namna wazo dogo liwezavyo …

477; NJIA NGUMU, Kurasa 12 kitabu cha kwanza cha mwaka mpya HATUA kubwa 2018/19

Kitabu; WAR of SELF, The 7 Weapons of Self Mastery by Ramman Sheehan Turner ( Vita ya Binafsi, Silaha 7 za Ubobezi binafsi ) 144 ~ 161 SILAHA ya 7; KIU ya MAARIFA ~ Jifunze hadi siku unayoondoka Duniani na asili iko tayari kukufungulia mengi ukiwa tayari kujifunza ANZA MWENDO ; Jifunze ulimwengu wa ndani …

476; NJIA NGUMU, Kurasa 12 kitabu cha kwanza cha mwaka mpya HATUA kubwa 2018/19

Kitabu; WAR of SELF, The 7 Weapons of Self Mastery by Ramman Sheehan Turner ( Vita ya Binafsi, Silaha 7 za Ubobezi binafsi ) 132 ~ 144 SILAHA ya 6; JITATHIMINI katika NJia Ya MAISHA ~ Maisha yasiyo na wasaa wa kujitathimini ulikotoka, ulipo na uendako hayafai kuishiwa sijui kama wewe unapenda aina hii ya …

475; NJIA NGUMU, Kurasa 12 kitabu cha kwanza cha mwaka mpya HATUA kubwa 2018/19

Kitabu; WAR of SELF, The 7 Weapons of Self Mastery by Ramman Sheehan Turner ( Vita ya Binafsi, Silaha 7 za Ubobezi binafsi ) 120 ~ 132 SILAHA ya 5; JUA UTAMBULISHO wako halisi ~ Je unajua wewe ni nani ? Mbali na ulivyofundishwa na mifumo ya elimu, jamii na ulezi nyumbani. HATUA ya KUCHUKUA; …

474; NJIA NGUMU, Kurasa 12 kitabu cha kwanza cha mwaka mpya HATUA kubwa 2018/19

Kitabu; WAR of SELF, The 7 Weapons of Self Mastery by Ramman Sheehan Turner ( Vita ya Binafsi, Silaha 7 za Ubobezi binafsi ) 108 ~ 120 SILAHA ya 4; MWILI, ROHO & AKILI~ Jifahamu zaidi wewe, waelewe watu na ukishindwa kuwaelewa wachukuliwe jinsi walivyo HATUA ya KUCHUKUA; Unaweza usiwaelewe watu na kadri unavyojitahidi kumridhisha …

Design a site like this with WordPress.com
Get started