473; NJIA NGUMU, Kurasa 12 kitabu cha kwanza cha mwaka mpya HATUA kubwa 2018/19

Kitabu; WAR of SELF, The 7 Weapons of Self Mastery by Ramman Sheehan Turner ( Vita ya Binafsi, Silaha 7 za Ubobezi binafsi ) 96 ~ 108 SILAHA ya 4; Usiupuuze au kuusahau mwili wako ikiwa wataka kufika mbali na kuzifikia ndoto zako. HATUA ya KUCHUKUA; Teknolojia ipo na itaendelea kukua kila siku lakini usifanye …

472; NJIA NGUMU, Kurasa 12 kitabu cha kwanza cha mwaka mpya HATUA kubwa 2018/19

Kitabu; WAR of SELF, The 7 Weapons of Self Mastery by Ramman Sheehan Turner ( Vita ya Binafsi, Silaha 7 za Ubobezi binafsi ) 84 ~ 96 SILAHA ya 4; MWILI, ROHO& AKILI ~ Tengeneza umoja wa fikra (Akili), roho na mwili kuwa kitu kimoja na mwili imara na akili ya ustahimilivu ni kuwa na …

471; NJIA NGUMU, Kurasa 12 kitabu cha kwanza cha mwaka mpya HATUA kubwa 2018/19

Kitabu; WAR of SELF, The 7 Weapons of Self Mastery by Ramman Sheehan Turner ( Vita ya Binafsi, Silaha 7 za Ubobezi binafsi ) 72 ~ 84 SILAHA ya 3; Tafuta KIINI/CHANZO/MZIZI ~ tunateseka na kuingia katika matatizo katika maisha ya kila siku sababu hatujipi muda wa kujua nini chanzo cha mateso hayo. HATUA ya …

470; JAMII 100, Kuwa makini pale unapotoa jina kwa vitu hasa kama ni jina kwa biashara unayotaka kuanza na kutegemea itadumua miaka mingi ijayo.

Rejea ya kitabu; The ACCIDENTAL ENTREPRENEUR, 50 things I wish someone had told me about starting a business by Susan Urquhart Brown ( Vitu 50 ambavyo ningetamani ningeambiwa na mtu juu ya kuanza biashara ) Rafiki utakubaliana na kuwa mambo mengi ambayo tumekosea siku za nyuma yalichangiwa kwa asilimia kubwa sababu ya kukosa maarifa sahihi …

469; NJIA NGUMU, Kurasa 12 kitabu cha kwanza cha mwaka mpya HATUA kubwa 2018/19

Kitabu; WAR of SELF, The 7 Weapons of Self Mastery by Ramman Sheehan Turner ( Vita ya Binafsi, Silaha 7 za Ubobezi binafsi ) 60 ~ 72 SILAHA ya 3; Ona Ukweli katika udanganyifu na wewe ni sehemu ya Ulimwengu mzima ona mahusiano ya uwepo wako na watu na mazingira asilia yanayokuzunguka. HATUA ya KUCHUKUA; …

468; NJIA NGUMU, Kurasa 12 kitabu cha kwanza cha mwaka mpya HATUA kubwa 2018/19

Kitabu; WAR of SELF, The 7 Weapons of Self Mastery by Ramman Sheehan Turner ( Vita ya Binafsi, Silaha 7 za Ubobezi binafsi ) 48 ~ 60 SILAHA ya 2; Fanya kwa kukusudia katika hatua zako ukijua utakuwa tayari kupata matokeo kwa kila yatakayokuja sababu ya maamuzi ya kufanya hivyo utakavyofanya. Ukiweza kukusanya nguvu zako …

467; NJIA NGUMU, Kurasa 12 kitabu cha kwanza cha mwaka mpya HATUA kubwa 2018/19

Kitabu; WAR of SELF, The 7 Weapons of Self Mastery by Ramman Sheehan Turner ( Vita ya Binafsi, Silaha 7 za Ubobezi binafsi ) 36 ~ 48 SILAHA ya 1; Dhibiti hisia zako na jicheleweshe kuchukua hatua uwapo na hisia kali na ukiweza vuta pumzi na tulia dakika 5 ukituliza akili iwaze hali ya wakati …

466; NJIA NGUMU, Kurasa 12 kitabu cha kwanza cha mwaka mpya HATUA kubwa 2018/19

Kitabu; WAR of SELF, The 7 Weapons of Self Mastery by Ramman Sheehan Turner ( Vita ya Binafsi, Silaha 7 za Ubobezi binafsi ) 25 ~ 36 Kituo cha KUSIMAMA; Muda ambao unatumia kufuatilia maisha ya watu wengine ungefuatilia kujifahamu wewe ungekuwa mbali sana na kwa njia ya kujipa tafakari na maisha yako ni kwa …

465; UHALISIA, Picha ya mambo mengi unayofikiria si hivyo ilivyo katika uhalisia wake.

Habari Rafiki, ni siku mpya ya ushindi na ni siku ya kuacha alama njema ya maisha yetu tukijua kuwa siku kama ya leo haitakuja kujirudia. Kuwa hai ni zawadi ya pekee kumshukuru Mungu na kufanya yakukusogeza na unakotaka kufika ni maamuzi ya faida na hekima. Kila siku ukiamua kutumia vizuri muda wako unaweza na pia …

364; NJIA NGUMU, Kurasa 12 kitabu cha kwanza cha mwaka mpya HATUA kubwa 2018/19

Kitabu; WAR of SELF, The 7 Weapons of Self Mastery by Ramman Sheehan Turner ( Vita ya Binafsi, Silaha 7 za Ubobezi binafsi ) 13 ~ 24 Kituo cha KUSIMAMA; Licha Dunia kuwa na maendeleo makubwa ya kisayansi na teknolojia bado watu wamekwama katika uwezo wa kujitawala na kujidhibiti wenyewe. Kadri siku zinavyozidi kusonga mbele …

Design a site like this with WordPress.com
Get started