453; Ishi maana siku hutapata nafasi tena ya kuishi na sadaka kubwa kuliko kuitoa katika maisha ni kutoa muda wako kwa ajili ya maisha ya watu wengine.

Kitabu rejea; RESIELENCE, Hard won Wisdom for living a better life by Eric Greitens ( USTAHIMILIVU, Hekima za ushindi za Kuishi Maisha bora) Nukuu ya tafakuri; Sadaka kubwa kuliko ni sadaka ya kutoa muda kwa ajili ya wengine na kuna siku kifo kitabisha hodi kuny'ang'anya zawadi ya uhai hivyo usijicheleweshe kuishi sasa. Maisha yetu ni …

452; Uchambuzi wa Kitabu, INFLUENCE, 47 Forbidden Psychological Tactics you can use to motivate, influence and persuade your prospect” by Dan “the man” Lok ( Mbinu 47 zisizo halali za kisaikolojia za kiushawishi zinazoweza kukuhamasisha na kukushawishi kumfikia mteja mtarajiwa )

Na Samwel Gunda gundasam08@gmail.com ANGALIZO: Haiba ya mwandishi ni mtu ambaye anatumia maneno makali sana ambayo hayazingatii sana matumizi ya tafsida au lugha ya kificho lakini pamoja na hilo bado anavyo vitu vizuri na ukweli mchungu ambao tunaweza kujifunza juu ya uhalisia wa maisha ya safari ya kuwa huru kiuchumi. WASIFU WA MWANDISHI Dan" the …

451; Pasipo kuchukua hatua utakacho hutakipata na maisha yafaa kuwa na tafakari ya kile umekichukulia hatua ili ujue ukweli na ukweli katika maisha ni kupata njia sahihi ya kufanya vitu au mambo.

Some people believe that they already know everything worth knowing ~ Eric Greitens ( Wengine wanajua tayari washajua walichopaswa kujua ) Kitabu rejea; RESIELENCE, Hard won Wisdom for living a better life by Eric Greitens ( USTAHIMILIVU, Hekima za ushindi za Kuishi Maisha bora) KITUO cha Tafakuri; Lini utaanza kuchukua hatua ? Je unajua unachokikosa …

450; SHITUKA, Kuna njia ya kutokea sema hujaijua

NJIA ya KUTOKA; Fahamu hatua 5 ambazo ukifanyia kazi eneo lolote katika maisha yako utapata matokeo makubwa Habari Rafiki, bila shaka unaendelea na hatua zako za kujisukuma kujivua mazoea na kujenga nidhamu ya hali ya juu ya hatma ya maisha yako. Ulipo hapo umekwama sababu ya kukosa maarifa ya kukutoa hapo ulipo na kwenda hatua …

449; Unaweza kupata chochote katika maisha kama tu ukikubali na kulipia gharama ya kukifanyia mazoezi kila siku

Kitabu rejea; RESIELENCE, Hard won Wisdom for living a better life by Eric Greitens ( USTAHIMILIVU, Hekima za ushindi za Kuishi Maisha bora) KITUO cha Tafakuri; Jinsi uonavyo wengine wafanyavyo mambo kirahisi hadi ukavutiwa jua kuna siku waligharamikia kufanyia mazoezi ya kufikia hapo. Na wewe unaweza kama utakuwa tayari kuingia mazoezini ( Take a practice …

448; Maisha ya furaha yanaanzia ndani yako na yanajengwa katika vilivyo ndani kuliko vilivyo nje

LETTERS FROM A STOIC by Seneca ( Barua toka kwa Wastoa ) As you rise with the Morning Sun think of what a precious privilege it is to be alive, to breathe, to think, to enjoy, to love ~ Marcus Aurelius ( Pale uamkapo ona ni nafasi ya pekee sana ya kupumua, kufikiri, kufurahia na …

447; UCHAMBUZI WA KITABU, F.U MONEY “Make the Money As you Damn well want And live your life as As you Damn well please” by Dan “The Man” Lok( Kuwa na Fedha ya Maisha utakayo )

ANGALIZO: Haiba ya mwandishi ni mtu ambaye anatumia maneno makali sana ambayo hayazingatii sana matumizi ya tafsida au lugha ya kificho lakini pamoja na hilo bado anavyo vitu vizuri na ukweli mchungu ambao tunaweza kujifunza juu ya uhalisia wa maisha ya safari ya kuwa huru kiuchumi. WASIFU WA MWANDISHI "DAN THE MAN LOK" Alizaliwa huko …

446; Zawadi ya mwisho wa Mwaka 2018, 30 DAYS RESIELENT CHALLENGE ( Zoezi la siku 30 za ustahimilivu ) Mwezi Oktoba mzima

Every habit and capability is confirmed and grows in its corresponding actions, walking by walking, and running by running ...therefore if you want to do something make a habit of it ~ Epictetus Habari Rafiki, Upo hapo ulipo sasa sababu ya matokeo ya tabia ambazo umezijenga kwa kipindi fulani cha maisha. Tabia zetu zina mchango …

445; Uchambuzi wa kitabu, The RULES of LIFE, A personal code for living better, happier and more successful life by Richard Templar ( SHERIA za MAISHA, Mwongozo wako wa maisha mazuri, ya furaha na ya kimafanikio )

Rafiki, karibu tujifunze pamoja na kisha tusibaki kufurahia maarifa bali tuchukue hatua ili maisha yabadilike. Umewahi waza kama kungekuwa hakuna sheria katika michezo yoyote ujuayo ingekuaje ?. Kama umewaza na kuona jinsi ambavyo hali ingekuwa mbaya, vurugu na hata michezo ingekosa ladha basi ni zaidi ya tatizo katika maisha ambayo yanaenda na hakuna sheria zinazomwongoza …

444; Mwaka 2018; Siku 99 mbele yetu njia ya kwenda mwaka 2019, NYOTA TANO za Mafanikio makubwa, na tulia kisha hesabu mwaka wako ulivyopukutika na ulichokipata au kupoteza

Time is a gift that most of us take for granted ~ Cheryl Richardson ( Muda ni zawadi tunaichukulia kawaida na kupuuzia ) Habari Rafiki, jana zilikuwa zimebaki siku 100 ili mwaka 2018 uweze kuisha na panapo nafasi na zawadi ya uhai basi mwaka 2019 utabisha hodi. Leo imepotea siku moja na kubaki siku 99. …

Design a site like this with WordPress.com
Get started