443; Ushindi wa siku yako unaanza asubuhi na mapema, huwezi kujua kama unapiga hatua kama hakuna alama ya ulipoanzia na jiandae kuwa kikombe kilicho tupu kila siku ya maisha yako.

KURASA 20 kila siku; KITABU ~ MEGALIVING:30 Days to A Perfect Life by Robin Sharma. ( Siku 30 za Maisha bora na kuishi kitoshelevu ) KITUO cha Tafakuri; Asubuhi unaanza na jambo gani ?, ubora wa siku yako unaanza na wewe mwenyewe katika vipaumbele utakavyoenda kuweka leo. Asubuhi ni sehemu ya siku yenye siri kubwa …

442; Hizi ndizo bei nafuu za kufikia ubobezi wowote katika maisha, je Uko TAYARI kulipia ? na ukiweza kusimamia masaa yako 24 katika siku utaweza kufanya mambo ambayo wengine huweza kufanya mpaka miaka ipite

Time mastery is life mastery ( tafsiri iso rasmi;Usimamizi mzuri wa muda ni mafanikio katika maisha ) KURASA 20 kila siku; KITABU ~ MEGALIVING:30 Days to A Perfect Life by Robin Sharma. ( Siku 30 za Maisha bora na kuishi kitoshelevu ) KITUO cha Tafakuri; Huwezi kupata ubobezi kwa njia ya mkato na ukitaka kufanya …

441; Siku ya 57, Anza kushughulika na mfumo wa kufikiri na Utajiri unaanza kwa kukubalika ndani ya akili yako kuwa umechoka kuwa maskini na haja yako ni kuwa tayari kutengeneza utajiri.

Kitabu Rejea; 8 SECRETS OF THE TRULY RICH by Bo Sanchez A lack of money is not the problem; it is merely a symptom of what is going on inside you ~ T. Harv Eker ZINGATIO; Tengeneza fikra za kitajiri kwanza katika fikra kisha utengeneze mfumo wa tabia zitakazokupa njia ya kuelekea utajiri. Huenda ikawa …

440; Anza na ulichonacho huku ukiwa na Ndoto kubwa ya kule uendako katika maono makubwa ya kiuchumi

Kitabu Rejea; HOW TO BUILD A MULTI BILLION DOLLAR BUSINESS IN AFRICA FROM SCRATCH by Strive Masiyiwa and compiled by Geophrey Tenganamba ( Namna ya Kujenga Biashara Kubwa toka chini barani Afrika ) You start with what you have, you do what you can, you invest what you get, so that you can do bigger …

439; Wiki ya fedha 2, Shairi la tafakuri

Mada; Vyanzo vya vipato.  Beti 5 1. Chanzo kimoja ni shida, mshahara hautoshi Pia ufinyu wa muda, kimoja sawa na moshi Uwe nacho za ziada, ili uweze kuishi Chanzo kimoja taabu, jiongeze kufikiri 2. Kimoja kina hatari, siku hicho kikikoma Huwezi kuwa tajiri, kimoja kikishagoma Jipe muda ufikiri, ni wapi ulipokwama Kipato kimoja ta'bu, kikiwa …

438; MSINGI wa FEDHA, Hivi ndivyo vitabu 6 muhimu kuwepo katika maktaba za shule na vyuo kwa kujenga msingi wa ufahamu wa fedha na fikra za utatuzi wa matatizo katika jamii na kuanza safari ya kuelekea Uhuru wa kifedha mapema

Academic qualifications are important and so it financial education. They are both important and Schools are forgetting one of them ~ Robert Kiyosaki. ( Ufaulu kitaaluma ni kuzuri kama ilivyo elimu ya fedha. Vyote viwili vya muhimu ijapokuwa shule husahau kimojawapo ) Wiki ya fedha, wiki ya kuzungumza misingi ya fedha karibu Rafiki Jamii nyingi …

437; Wiki ya FEDHA, UMASKINI ni MBAYA, TUJIFUNZE FEDHA, TOA THAMANI, ONGEZA MAARIFA ya KIFEDHA na JIKUMBUSHE FEDHA zilikojificha ( maeneo 10

You can't get rid of poverty by giving people money ~ the fresh quotes ( Huwezi kuondoa umaskini kwa kuwapa watu fedha ) Rejea ya maarifa; THE SCHOOL OF MONEY by Olumide Emmanuel ( Shule ya Fedha ) Rafiki ni juma la 37, wiki ya kuzungumza, kujifunza, kuchukua na kutengeneza fedha. Hakuna hali mbaya katika …

436; Ukiweza kuitawala siku yako ya masaa 24 basi safari ya kutawala akili yako itulie itakuwa nyepesi

Kitabu rejea; HOW TO LIVE ON 24 HRS A DAY by Arnold Bennett ( Namna ya Kuishi masaa 24 katika siku ) Rafiki naamini umesikia sana kuhusu muda kiasi kwamba hadi umechoka sasa kusikia. Katika maisha mambo madogo ambayo yamebeba maana ya maisha huwa yanapuuzwa na wengi licha watu kujua uzito wa hayo mambo. Na …

435; Siku ya 51, Hivi ndivyo vipande 5 katika Fumbo la maisha unavyopaswa kuvijua ufumbue ili uwe na maisha ya kupiga Hatua kubwa kila siku

Kitabu rejea; The FIVE MAJOR Pieces To The Life Puzzle, A Guide to Personal Success by Jim Rohn ( Vipande vikuu 5 vya Fumbo la Maisha, Mwongozo binafsi wa mafanikio yako ) Pakiwepo tu watu wengi basi ujue kila mmoja anaweza akawa anafikiri anavyoweza kufikiri. Huwezi kuzuia watu kufikiri wanavyoweza kufikiri. Na hii ndio inavyoonyesha …

434; Siku ya 50, Siku 50 kila siku katika kuchambua na kushirikisha Mobile chambuzi, kitabu cha leo katika mobile chambuzi na huduma mpya ya uchambuzi wote ( KNOWLEDGE GAP Level 1 )

Kitabu muhimu sana kukisoma; TAKE THE STAIRS, 7 Steps to Achieving true Success by Rory Vaden ( Panda NGAZI, Hatua 7 za Kufikia mafanikio ya kweli ) On becoming successful requires us to do things that are not easy and ordinary people don't do. Habari Rafiki, siku zinaenda sana na kama huchukui hatua unajichelewesha sana …

Design a site like this with WordPress.com
Get started