GO into the World and do well. But more importantly, go into the World and do good ~ Eminor Myers Jr. Maisha ni mfululizo wa mabadiliko kila siku. Kila siku mambo huenda yakibadilika huku mengine yakihitaji gharama kubwa sana kuweza kuyabadilisha au lasivyo wewe ubadilike. Maisha ya chuo ni maisha ambayo kila mtu au kijana …
432; KONA ya UHALISIA, Kuwa tayari kwa mabadiliko yoyote yatakayoweza kutokea katika maisha yako.
You can't change what's going on around you until you start changing what's going on within you ~ Zig Ziglar Maisha yana fumbo na hakuna mambo yote huwekwa wazi hasa mambo ya maisha ya baadaye miaka 10 hadi 20 lakini jambo moja kubwa lenye uhakika kabisa ni kuwa mabadiliko hutokea hata kama mtu atashindwa kubadilika …
431; Siku ya 40, Utajiri si kwa watu laini laini na utajiri ni kama upo katika vita na vita si kwa watu waoga bali watu jasiri na walo tayari kuzikabili hatari
Kitabu rejea; YOUR FIRST 100 MILLION by Daniel S. Peña, Sr ( MILIONI ZAKO 100 ZA KWANZA ) Success is not for easy people, not for lazy people and not for wish people ( Ref. Dan Peña ) Leo ni siku ya 40 toka Mobile chambuzi ianze na hapa ndipo ambavyo huwa naamini sana katika …
430: Tafakuri ya Jioni; Mitandao ya kijamii ni jukwaa wewe unalitumiaje ?, mitandao ya kijamii pana mafuriko ya taarifa, habari na maarifa wewe unataka nini ? Na tumia mitandao ya kijamii si kuwaridhisha watu bali kujifunza na kupiga hatua maishani
Kitabu nilichosoma; The ART OF SOCIAL MEDIA, Power tips for Power users by Guy Kawasaki and Peg Fitzpatrick ( Sanaa ya Mitandao ya Kijamii, kwa watumizi wenye nguvu ) "Don't use social media to impress people; use it to impact people" ~ Davewills Mitandao ya kijamii imekuwa sehemu inayolalamikiwa sana na watu kuwa ni moja …
429: Miaka 26 ya Maisha yangu; Maeneo 4/5 Nitakayoyaishi Siku Zote Hapa Duniani, Falsafa ya Mdudu Huyu na Masomo 10 Nitakayoiga Toka Kwake Na Kauli ya nitajisukuma nife nikiwa tupu ( Die empty )
Kwanza kabisa namshukuru Mungu aliye muweza na asili ya vitu vyote vya macho kuonekana na visivyoonekana. Nalisifu jina lake kuu yeye aliye asili ya elimu na ajabu za ukuu katika kazi ya mikono yake. Hii ni siku ya pekee ambayo miaka 26 ilopita familia ya vijana wawili Nusura na Otiena ilikuwa na furaha kubwa ya …
428; Siku ya 32, MAISHA na UHALISIA 03; KITABU KURASA HADI KURASA, KURASA 20 KILA SIKU na KUCHUKUA HATUA
Kurasa 20 kila siku, THE SENECA EFFECT; WHY Growth is SLOW but COLLAPSE is RAPID by Professor Ugo Bardi ( NAMNA UKUAJI wa VITU ulivyo taratibu na PIA jinsi ANGUKO lilivyo tukio la siku MOJA ) Muhimu; Pale anguko la kiuchumi linavyotokea kuanzia mtu mmoja hadi taifa na nguvu ya mtandao katika kusababisha anguko lolote …
427: Siku ya 31, MAISHA na UHALISIA 03; KITABU KURASA HADI KURASA, KURASA 20 KILA SIKU na KUCHUKUA HATUA
Kurasa 20 kila siku, THE SENECA EFFECT; WHY Growth is SLOW but COLLAPSE is RAPID by Professor Ugo Bardi ( NAMNA UKUAJI wa VITU ulivyo taratibu na PIA jinsi ANGUKO lilivyo tukio la siku MOJA ) Muhimu; Usidharau vitu vidogo ndivyo vyenye nguvu ya kusababisha anguko la vitu na vile mifano ya maanguko ya haraka …
426; LULU za Afrika, Kwaheri Kofi Atta Annan ( 1938 ~ 2018, Agosti 18 ), Asante kwa utumishi wako wa alama Duniani na nukuu yake moja ya tafakuri
" Any society that does not succeed in tapping into the energy and creativity of its youth will be left behind ~ Kofi Atta Annah ( Jamii yoyote itakayokosa kutumia nguvu na ubunifu wa vijana wake itaachwa nyuma ) Afrika imepoteza kiongozi, mwanadiplomasia mkongwe kutokea nchini Ghana na Mwafrika wa kwanza kushika nafasi ya juu …
425; Uchambuzi wa kitabu, No Mud, No Lotus: The ART of Transforming Suffering by Thich Nhat Hanh ( Sanaa ya kubadili Mateso kuwa ushindi na furaha )
Furaha ni moja ya ndoto ya watu wengi inayowafanya watu wakimbizane na maisha ya kupata mafanikio, fedha, nguvu, umaarufu na kujulikana na mwisho hawaipati zaidi ya kujikuta wanapata mateso zaidi ya vile ambavyo walifikiri vingewapa furaha. Wengine ambao walitafuta fedha nyingi, nguvu na hata vyeo lakini mwisho bado wakajiona wana ombwe kubwa ndani yao ya …
424; Siku ya 30, MAISHA na UHALISIA 03; KITABU KURASA HADI KURASA, KURASA 20 KILA SIKU na KUCHUKUA HATUA
Kurasa 20 kila siku, THE SENECA EFFECT; WHY Growth is SLOW but COLLAPSE is RAPID by Professor Ugo Bardi ( NAMNA UKUAJI wa VITU ulivyo taratibu na PIA jinsi ANGUKO lilivyo tukio la siku MOJA ) Muhimu; Ngome kubwa kama Rumi ilivyoanguka, na namna ngome mpya ya UTANDAWAZI ( Globalization is a modern global empire) …