403; Tafakuri ya mchana, Ishi maisha yako kwa utoshelevu, piga picha nyingi, acha alama, ishi leo, chukua hatua na andika hadithi nzuri ya maisha yako

Kitabu nilichosoma leo mchana; WHO WILL CRY WHEN YOU DIE by Robin Sharma. Hofu ya maisha sio Kifo ila ni kufa kwa kile kilicho ndani ya mtu ( vitabu, maono, nyimbo, ubunifu, ujuzi ) angali hai. Mwandishi Robin Sharma kati ya waandishi ambao wanaandika vitabu vyenye uhalisia wa maisha ya kila siku basi naweza kusema …

402; NYOTA TANO, Kitabu nilichosoma juma la 30, hatua ya kuchukua ukitaka Mafanikio makubwa, Duka la Maarifa, Usijicheleweshe na tafakuri ya kufikirisha

Habari rafiki ni siku mpya, ni siku ya ushindi, ni siku bora na ni siku ya kuthubutu. Shukuru Mungu kwa nafasi hii ya pekee ya kuwa hai na kuiona siku hii huenda kama ingetokea nafasi basi wengine ambao sasa hawako nasi wangeomba iwe hivyo lakini ni kazi na haiwezi kutokea. Huenda ombi lao lingekuwa warudi …

401; Juma la 30, Tengeneza mfumo ili uwe mshindi kila siku, Malengo pekee hayatoshi kukufanya upige hatua

Habari ya asubuhi, bila shaka siku yako imeanza na wiki nyingine ya 30 tayari i katika mikono yako na wewe ndiye wa kuitumia au kuipoteza kabisa. Nafasi ya kuwa hai ni ya kwanza kabisa na ya kumshukuru Mungu kuwa kuifika tena na unadaiwa ufanye makubwa na yenye mchango mkubwa kwa jamii yako. Kazi zetu za …

400; UANDISHI ni kazi NGUMU lakini SITAACHA kuandika kila siku sababu ya mambo haya 5

Habari rafiki, bila shaka ni siku nzuri na mpya tena ya kutupa nafasi kuanza kama bado hatujaanza, ya kutupa tupige hatua kama bado tunasua sua, na jambo lifurahishalo ni siku ambayo iko katika umiliki wetu maana jana ishapita hatuwezi irudi na kesho hatujui yaweza kuwaje lakini leo Muumba katupa tuweze kufanya kitu na siku iwe …

399; Jisukume kuchukua hatua, Anza kuchukua hatua baada ya kujifunza.

NUKUU ya Tafakuri; Njia nzuri ya kujifunza ni kujifunza huku unafanya ~ Dr Makirita Amani ( KISIMA CHA MAARIFA ) Kuna kipindi ambacho watu walikuwa na maarifa machache sana na hata kama ni vitabu ilikuwa kazi sana kupata na ni wachache tu waliweza kuyapata maarifa vitabuni. Lakini kadri teknolojia ilivyozidi kukua ndivyo utele wa maarifa …

398; NYOTA TANO, Inuka Uangaze, Kama sio wewe ni nani?, mabadiliko yanaanzia kwako, twende kuchukua hatua na mambo 5 muhimu ya kuchukua hatua.

Habari rafiki, kwanza kabisa kuwa hai ni mtaji nambari moja unaopaswa kushukuru kila siku, ni nafasi ya pekee sana hii ya kumshukuru Mungu. Twende kufanya kitu na twende kuzalisha matokeo katika yale ambayo leo hii tunaenda kufanya mambo makubwa katika maisha yetu Neno Nyota nimelipenda sana toka nimesoma kitabu cha mwandishi Michael Heppel cha "5 …

397; Miaka 100 ya Maisha ya Alama ya Shujaa, Kiongozi na Lulu ya Uongozi Afrika na Dunia Nelson Rolihlahla Mandela ( 18 Julai 1918 ~ 5 Disemba 2013 )

Leo ni miaka 100 imetimu toka katika historia inayoturudisha nyuma mpaka katika kijiji cha Mvezo eneo maarufu liitwalo Umtata ambapo katika familia ya kichifu ya Thembu ndipo shujaa wa majina Nelson Rolihlahla Mandela anazaliwa mnamo tarehe 18 Julai 1918 nchini Afrika ya Kusini, historia inaonyesha namna alivyopendwa na familia, juhudi yake ya kusoma na kuandika …

396; DUKA LA MAARIFA, KURASA ZA KITABU ~ TREASURE, uncovering patterns, principles that create prosperity by Edwin Louis Cole, Pages 62 ( HAZINA, fahamu mipangilio na kanuni zinazotengeneza mafanikio, Kurasa 62 )

Kurasa 10 kila Siku, jizoeshe na jisukume mwenyewe kwani ni kwa faida yako kwa afya ya jicho la ndani ( Akili ), karibu tujifunze na tuchukue hatua pamoja. Mwisho wa Kurasa; 43 ~ 62, Twende kumaliza kitabu hiki na twende kuchukua hatua kubwa. CHAKUBEBA; Unacho kwa muda jifunze kukisimamia, Furaha ni pamoja na maisha ya …

395; NYOTA TANO; SHUKRANI, MABADILIKO MAPYA SAFARI KUELEKEA MWAKA 2019, NDOTO KUBWA, ZAWADI KWAKO MWENYE KIU YA KUPIGA HATUA KUBWA na KAZANA KUFAHAMU MISINGI ya MAISHA.

Habari rafiki, msomaji na wewe uliye na kiu kweli ya kupiga hatua na pengine kuchoshwa na hali ambayo unayo sasa. Habari njema ni kuwa uwapo hai ndio nafasi ya pekee sana ya kuweza kuwa mtu bora sana na pia ni zawadi unayopaswa kumshukuru sana Mungu. Kila siku ni nafasi kwako uanze au kuchukua hatua kubwa …

394; KNOWLEDGE CLINIC, Madeni ni gereza, kazana kuongeza thamani kwa watu na tumia mitaji hii 10 kutafuta kuwa huru kila siku. Kitabu rejea ‘The School of Money’ by Olumide Emmanuel

Juma la 29 lishabisha hodi na maisha yanaendelea pale ambapo ulisema ungefanya kesho basi hiyo kesho ndio hii sasa unayo ni wewe kuanza au kuacha nayo ipite. Maisha ni darasa pana sana na unapokosa ufahamu wa kutosha wa mambo basi linazidi kuwa gumu zaidi na hatari kuishi pasipo kuwa na maarifa. Hatari inakuja zaidi pale …

Design a site like this with WordPress.com
Get started