Kurasa 10 kila Siku, jizoeshe na jisukume mwenyewe kwani ni kwa faida yako kwa afya ya jicho la ndani ( Akili ), karibu tujifunze na tuchukue hatua pamoja. Ukurasa 22 ~ 31, Tengeneza utajiri, Jenga Haiba na Jifunze siku zote Ukishaona wajua na kila kitu unakifahamu basi kujifunza hapo mambo mapya huishia hapo. Na safari …
392; Uchambuzi wa kitabu, FIKRA PEVU DARASA kwa hisani ya Darasa la Fikra Pevu Mwaka 2017 na mkusanyaji Raymond Nusura Mgeni.
Ukiweza kuwa vizuri ndani hasa eneo la fikra basi safari nzima ya mafanikio huanza kuwa nyepesi. Na unaposhindwa kabisa kufahamu mengi juu ya fikra basi kuna upande ukosao kuhusu maisha kwa mapana yake hasa eneo kubwa la kutumia uwezo wote ulionao ndani yako. Nafasi ya kufahamu vizuri kuhusu hili eneo ingalipo bado ukiwa hai na …
391; DUKA LA MAARIFA, KURASA ZA KITABU ~ TREASURE, uncovering patterns, principles that create prosperity by Edwin Louis Cole ( HAZINA, fahamu mipangilio na kanuni zinazotengeneza mafanikio )
Kurasa 10 kila Siku, jizoeshe na jisukume mwenyewe kwani ni kwa faida yako kwa afya ya jicho la ndani ( Akili ), karibu tujifunze na tuchukue hatua pamoja. Ukurasa 11 ~ 21, Ifikiri ndoto yako na anza kuiishi leo, Chagua watu wakuambatana nao na usijicheleweshe kuanza kama hujaanza kuiishi ndoto yako. Moja ya ajabu kubwa …
390; DUKA LA MAARIFA, KURASA ZA KITABU ~ TREASURE, uncovering patterns, principles that create prosperity by Edwin Louis ( HAZINA, Fahamu Mipangilio na Kanuni zinazotengeneza Mafanikio )
Kurasa 10 kila Siku, Jizoeshe na kujisukuma mwenyewe kwani ni kwa faida yako kwa afya ya jicho la ndani ( Akili ), karibu tujifunze na tuchukue hatua pamoja. Ukurasa 1 ~ 10, Msingi wa maisha ya ukuu, kanuni za mafanikio na tabia ya kusoma vitabu Kila kitu katika maisha kina kanuni ambazo huongoza vitu viwe …
389; Uchambuzi wa kitabu, COACHING PEOPLE by Rob Yeung ( Mambo muhimu ya kujua kuhusu huduma ya ukocha kwa watu )
Ukocha ni kusaidia na kuonyesha watu wana uwezo mkubwa ndani yao kuutumia kufikia viwango vya juu zaidi vya kufanya mambo yatokee. Kazi hii ya ukocha ni pamoja na kutoa mbinu ili mtu au watu au kikundi au kampuni kujiona wanaweza kufika mbali zaidi ya vile wafikiarivyo walipokuwa awali. Kazi hii imeanza muda mrefu katika mataifa …
388; Uchambuzi wa kitabu, PASSIVE INCOME, Develop a Passive Income Empire by Simon Wolf ( Mwongozo wa Kutengeneza Utajiri kupitia Mifereji ya vipato kupitia mtandao )
Kila siku mambo yanazidi kusonga mbele, teknolojia inakua na kwa kasi, na watu wakiwa wanaona maisha yanazidi kuwa magumu zaidi, watu wanapambana kila siku asubuhi na mchana ili wapate kutengeneza vipato na kupiga hatua kubwa, wengine wakiwa na kipato kimoja na wengine vipato vingi wanaathiriwa sawa na mfumo wa teknolojia na maendeleo ya mawasiliano. Hatari …
387; KNOWLEDGE CLINIC, Upo tayari kujimimina ubaki tupu ?, basi ufanyapo hili utaweza kufa mtupu na ukishindwa utakufa bado umejaa uongeze utajiri katika kaburi.
Pale unapozaliwa tu basi ni kigezo nambari moja kuwa utakufa, ni ambao hawajazaliwa au walokufa hawawezi kufa. Lakini pale toka umeingia katika uso wa dunia basi kuna siku moja itakuja ambayo utaondoka na kuiacha dunia kama ambavyo uliikuta ulipozaliwa. Ni katika suala la muda tu maisha hudondoka kama jani la mti kwenda chini. Nini unafikiri …
386; Hatua za Hatari, Usiweke Silaha Chini, Endeleza mapambano mpaka mwisho, Hakuna kilicho cha thamani kijacho kirahisi, Kabiliana na ugumu.
Nukuu yangu ya kila siku, siku za kuwa hai ~ Nitajikana, nitajisukuma isivyo kawaida, na ninakubali kuwa mimi ndio najichelewesha siku zote. Sitashindana na mtu , zaidi ya mimi wa jana siku zote za maisha yangu Ni rahisi sana katika maisha kuchagua kutokusonga mbele kuliko kuendelea mbele kati kati ya magumu, ya vikwazo au ya …
385; SEMINA ~SIKU 5 ZA KUTOKA HAPO ULIPO na KUCHUKUA HATUA KUBWA, na KUJISUKUMA ZAIDI
Moja ya faida kubwa sana katika nyakati tunazoishi ni urahisi wa upatikanaji wa taarifa na maarifa, na tena wakati huo huo licha ya kuwa na urahisi huo wa taarifa na maarifa, tumejikuta katika changamoto kubwa sana ya mafuriko ya maarifa na taarifa, kiasi kwamba unakosa kujua lipi ulishike na lipi uache, kila siku kuna ongezeko …
384; Hatua za Hatari; Ndoto kubwa, maono makubwa, hatua kubwa na gharama yake ni kubwa, Jisukume isivyo kawaida upate unachotaka.
Nukuu yangu ya kila siku, siku za kuwa hai ~ Nitajikana, nitajisukuma isivyo kawaida, na ninakubali kuwa mimi ndio najichelewesha siku zote. Sitashindana na mtu , zaidi ya mimi wa jana siku zote za maisha yangu Kuitwa bilionea kuna raha, na pengine kupendwa na kila mtu, kuwa na utajiri kunavutia sana na ndio pengine kila …