Habari Rafiki, bila shaka kila ifikapo jioni unajipa muda na kutazama siku yako imekwendaje?, unajipima wapi umeenda vibaya, wapi umeshindwa lakini umejifunza na wapi pia umeshinda ujipongeze. Ni jioni pekee ndio tunaweza kuipa siku yetu mahesabu namna ambavyo zawadi ya kuwa hai na muda tulivyoitumia, na zoezi hili linakuwa wazi kwako ukifanya mwenyewe. Kufanya na …
372; Jiwekee nidhamu hii kila jioni kama mzani wa namna ulivyotumia siku yako. Na Ukipenda yawe maisha yako siku zote
Maisha ndilo darasa letu siku zote toka tumepata nafasi ya kubahatika kuzaliwa na kuwa hata sasa yameendelea kuwa darasa na hata mwisho wa siku tutakayoondoka duniani. Kujifunza kumekuwa ndani ya hili darasa kukiwa na mengi sana ya kujifunza kuanzia umiliki wa dakika, lisaa na hata siku nzima. Ndivyo siku huanza asubuhi, mchana na hata hufika …
371; Uchambuzi wa kitabu, 30 DAYS OF DISCIPLINE by Victor Pride ( Siku 30 za Nidhamu, Mwongozo wa kuwa mtu mwenye nidhamu binafsi )
Mafanikio pasipo kuwa na msingi wa nidhamu hasa binafsi ya kufanya vitu na mambo ni kazi kufikiwa. Watu wote ambao wamefika juu katika mafanikio ni kwa sababu ya kujiwekea viapo vya kinidhamu kuwa hakutakuwa na visingizio, au sababu Kwanini wasifanye au kughairisha. Hii ndio sifa kubwa duniani kote inayowawezesha watu kufanikiwa kwa haraka zaidi. Kushindwa …
370; Jumatatu ya tafakari, Mafanikio ni Mfumo Tata, A success is a complex system; SUCCESS SYSTEMS by David Oyedepo.
Mental system is one of its system needed to make you succeed Na mfumo wa kufikiri ni moja ya mfumo unaotakiwa kuufahamu uweze kufanikiwa TAARIFA ( Information ) Habari ya asubuhi, ni siku nyingine tena ya mwanzo wa wiki na ni wiki ya 23 ya kuendelea kuboresha maeneo 5 ambayo ukiweka nguvu basi nusu hii …
369; Kazana kujiwekeza ndani yako, na mafanikio ya nje yatakuja yenyewe
Wiki inaisha, ndio mwanzo wa wiki nyingine ikiwa ni wiki ya 23. Kipimo cha wiki ni kipimo kizuri kuendelea kuona ni kwa namna gani tunapiga hatua zetu au pengine tumekwama pia njiani. Haitoshi pekee katika kuendelea kujifunza siku zote ikiwa kuchukua hatua hakupo, hapa utofauti wa yule achukuaye hatua na asiyechukua hatua utaonwa katika matokeo …
Continue reading "369; Kazana kujiwekeza ndani yako, na mafanikio ya nje yatakuja yenyewe"
368; Ukurasa wa Wiki~Power To Get Wealth ( Nguvu ya Kupata Utajiri ),
Kitabu ~The Pathway to Wealth by Olumide Emmanuel Ukurasa wa 5; Power to Get Wealth, Nguvu ya Kupata Utajiri ( 85 ~ 91 ) Hadithi yenye funzo ( A story with a lesson ) Kuna hadithi hapo kale, Katika nyumba moja ya bwana mmoja tajiri sana aliyekuwa na binti yake wa umri wa kuposwa. Alitoa …
Continue reading "368; Ukurasa wa Wiki~Power To Get Wealth ( Nguvu ya Kupata Utajiri ),"
367; Mambo 31 niliyojifunza Mwezi wa Tano, na Safari ya Kwenda Nusu Mwaka na Shamrashamra za Kombe la Dunia.
Habari ya siku ya 151 toka mwaka huu uanze. Ni nafasi ya pekee sana ya uhai kufika mpaka hapa tulipofika leo, tumshukuru Mungu kwa nafasi hii. Kuna mengi yamepita na katika kipindi hiki chote toka ilipoanza mosi ya Januari na sasa siku ya 151 kuelekea nusu mwaka na kisha mwaka kuisha ifikapo mwezi wa 12. …
366; Safari ya Siku 365 toka nianze kuandika Figa la Ushairi, nilipo na ninakoelekea na Mambo 10 nilofunzwa na uandishi pamoja na Kiapo cha uandishi hadi kufa.
Awali ya yote, nimshukuru Mungu aliyenipa nafasi ya uzima na afya mpaka kufikia siku hii ya leo siku ya 365 toka nianze kuandika katika figa la ushairi. Si kazi nyepesi kuandika karibu mwaka mzima, hivyo nawiwa kumshukuru sana Mungu kwa nafasi hii, pili wazazi wangu Baba na Mama kwa kuona nina jambo kiduchu la kuchangia …
365; Siku ya Kuaga na thamani ya wakati kilikuwepo na Kukumbushwa jambo kubwa la KUSHUKURU
Habari Rafiki, bila shaka umeamka salama kabisa na upo tayari kwenda kufanya makubwa siku ya leo. Kuwa hai na kuwa na nafasi hii ya uzima ni jambo la pekee sana na kumshukuru sana Mungu kwa nafasi hii. Hivyo kuitumia vizuri na kuanza yale ambayo jana tulisema tutafanya kesho, basi kesho hiyo ni leo na sasa …
364; Siku 3 Zimebakia za Zawadi na Vifurushi Vya Maarifa Mwanzo wa Nusu Mwaka ( Mwezi wa Sita ~ Mwezi wa 12 )
Habari Rafiki, hongera kwa safari nzima ya kujitoa kwako katika kuwa mtu bora siku hadi siku unapokuwa wajifunza, wachukua hatua na pia kupata matokeo. Nafasi hii ya sisi kuwa wazima tumshukuru Mungu na si ya bure, ni ya maana kubwa sana tukifahamu pia hatunayo wakati wote. Hivyo kujifunza na kuchukua hatua ni mambo yanayotakiwa kwenda …