Habari Rafiki, ni siku nyingine tena ya kipekee Mungu katujalia kuwa na uhai na kupewa zawadi ya maisha ni jambo la kumshukuru sana Mungu. Wengi wangetamani kama ingetokea nafasi hii basi wangerudi kufanya hivyo lakini nafasi hiyo haipo. Lakini nafasi hiyo ya kufanya au kuchukua hatua ipo kwangu na wewe tungali na muda wa kufanya …
Continue reading "343; Duka la Maarifa ~ Kitabu the Dip by Seth Godin"