304; KIJITABU ~ MAFICHONI KUJIFICHUA 04

Mwandishi: Raymond Nusura Mgeni Kurasa 57 Kurasa chambuzi 26 ~ 35 Ushindi wa kitu chochote kile ni hamasa kubwa sana ya kuendelea kusonga mbele. Ushindi ni hatua kubwa sana katika maisha ya kila siku, Ushindi dhidi ya tabia Fulani zinazokukwamisha Kupiga hatua, Ushindi juu ya Sauti za kukukatisha tamaa, Ushindi juu ya mitizamo hasi na …

303; KIJITABU ~ MAFICHONI KUJIFICHUA 03

Mwandishi: Raymond Nusura Mgeni Kurasa 57 Kurasa chambuzi 16 ~ 25 Maisha ni muunganiko wa mambo madogo madogo yanayoanzia katika maamuzi yanayofanywa kila siku kutoka Katika lisaa na hata siku nzima. Hivyo kama katika msingi wa awali wa kuanzia ulipo ni kuanza na hatua ya maamuzi sahihi na kisha katika maamuzi hayo sahihi Msingi imara …

302; Tafakari ya Kina Siku 50 za Mwaka 2018

Habari Rafiki Kwa wakati na muda kama huu. Mosi nafasi ya kuwa hai ni zawadi ya kipekee sana ya kumshukuru Mungu yenye kutusaidia hata sasa ukaweza kusoma haya nayoenda kutafakari kwa kina kwa siku 50 toka Mwaka huu uanze. Si siku haba hizi mengi yametokea na kuna mengine yametokea ya kuumiza mioyo. Na hii kutumbusha …

301; KIJITABU ~ MAFICHONI KUJIFICHUA 02

Mwandishi: Raymond Nusura Mgeni Kurasa 57 Kurasa chambuzi 8 ~ 15 Msingi au kanuni ni uimara wa mambo na vitu duniani na vyote vinaendelea kusimama juu ya misingi hii. Msingi wa awali unaendelea kuingia ndani zaidi juu ya hatua zinazofuatana NNE kutoka kuanzia ulipo, Kuanzia chini, kuendeleza na Kuboresha kila siku. Muunganiko wa hatua hizi …

300; KIJITABU ~ MAFICHONI KUJIFICHUA 01

Mwandishi: Raymond Nusura Mgeni Kurasa 57 Kurasa chambuzi 1 ~ 7 Karibu Rafiki katika kijitabu hiki cha nakala tete cha safari ambayo kila mtu hutamani kuijua sana na kama si kuambiwa au kusikia basi hupenda hata ajue kanuni au misingi yake hasa ni ipi. Kama vile kitu chochote duniani kina Msingi wake wa awali kabisa …

299; Nini sababu za Vijana wengi kukosa kuwa na ndoto kubwa ?

Habari Rafiki, na mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, kila siku huja na kutupa Nafasi kubwa kwetu Katika kujiboresha na kuwa na watu bora kila siku. Hii ni nafasi ya pekee sana kwetu kuendelea na safari ya kujifunza na kuwa watu wenye Ushindi kila siku. Na moja ya jambo kubwa ni kuwa kila mmoja kutamani …

298; Vipaumbele 10 vya kuzingatia Kama Kijana Kujikwamua Katika Maisha

Habari Rafiki, na mfuatiliaji wa blogu hii kila siku katika safari nzima ya kujifunza na Kupiga hatua zaidi ya pale ulipokuwa ili usogee mbele zaidi. Kila siku huwa ni fursa ya pekee sana kujifunza na kujiboresha katika namna ya kufanya kazi na kuyapokea au kuyapa tafsiri mambo. Moja ya jambo muhimu sana katika Nafasi hii …

297; Masomo 5 ya Kuchukua Na Kuyatumia ya Maisha ya Buibui

Mazingira asilia ni Mwalimu wetu mzuri katika kutufundisha na kutupa kuona mambo mengi katika sura ya ajabu sana na kushangaza. Ila kubwa katika haya yote ni kuwa katika nafasi ya Mwalimu kupitia viumbe mbalimbali vilivyomo humo. Na kundi kubwa sana la viumbe hao ni wadudu, tunaona Maisha ya Chungu yanavyotufundisha uchapakazi na ustahimilivu, pia maisha …

296; Si tatizo una nini?, ila unafanyia nini ulichonacho ndo msingi ulipo

Habari Rafiki, Bila shaka unaendelea na hatua zako kila siku, ndivyo siku zinaenda na hazirudi nyuma hata kama utapitia changamoto hakuna namna utaona zikirejea zilizopotoka. Njia bora ni kukubali kuwajibika katika kuzitatua kwa nafasi hii ya muda ya kipekee kwa kila mtu aliyepata ya kuwa hai kufanya jambo lililo bora zaidi kila siku. Nafasi hizi …

295; Siku 40 Za Mwaka Huu 2018, Usipojiboresha Unajimaliza Mwenyewe

Hongera Rafiki, Leo ni siku ya 40 toka Mwaka huu uanze, ni jambo la kumshukuru sana Mungu kufika safari hii ya siku hizi si jambo haba au la kuchukulia kawaida. Maana katika siku hizi kuna mengi yametokea katika maisha yetu ya kila siku. Na kuna mengi kama ulikuwa tayari kujifunza umejifunza mengi sana kwa Siku …

Design a site like this with WordPress.com
Get started