Habari Rafiki na Mfuatiliaji wa Blogu hii ya figa la Ushairi kila siku. Naamini kila siku unapoichukulia kama ukurasa mpya wa kuandika basi huwa unautendea haki katika kutengeneza hadithi nzuri kwa ajili ya wakati Ujao na hata sasa. Muda ni rasimali muhimu sana kutunzwa na kutumia katika kujiboresha kila siku ambayo Mungu anatupatia yenye ukomo …
Continue reading "294; Yatumie Maeneo Haya 4 Upate Mawazo Mapya Kila Siku"