284; Kwanini Ubadili Kufikiri na Kuongea Kwako Ili uweze Kupiga Hatua

Habari Rafiki na Mfuatiliaji wa Blogu hii Kila Siku, katika chambuzi za Vitabu na hamasa za kuchukua hatua kila siku. Kila siku ni zawadi ambayo Mungu hutupatia katika kuitumia na kuwa watu bora zaidi ya Jana zetu. Karibu tuendelee na safari ya kujifunza kila siku za maisha yetu. Bila shaka eneo la Fikra ndio eneo …

283; Tengeneza Mfumo huu Ili Kukuza Soko lako

Habari ya Siku Rafiki. Nimekuwekea huu uchambuzi eneo la wewe kuendelea kuimarisha kila siku katika kukuza soko lako kwa wateja wako. Maarifa ni muhimu sana katika kufanya mambo kwa ubora. Na huu ndio muda wa wewe kufanya kwa ubora na kupiga hatua kubwa. Karibu tuongeze Maarifa kuboresha namna ya kufanya kazi zetu. 1. Jua Soko …

281; Mwezi Januari Unapoishia Imarisha Jambo hili kwa ajili ya Mwezi Februari

Habari Rafiki, Muda sio rafiki unaponyoka kila siku na unaenda. Hakuna namna nyingine ya kurudisha muda ulopotea. Si kipindi kirefu sana ambacho Mwaka huu ulikuwa umeanza na sasa mwezi unaenda kwishia ili kupisha mwezi wa pili uweze kuingia. Kama kuna hatua hukuchukua basi mwezi Januari ushakuacha na unaenda ukingoni. Ikiwa bado u nafasi ya afya …

280; Huu Muda Jitahidi Ubakize katika Muda unaotumia Masaa 24 kwa Siku

Habari Rafiki, Zawadi Mojawapo katika zawadi tunayotakiwa kuendelea kumshukuru Mungu kila siku ni zawadi ya MUDA. Muda ni nafasi inayojitokeza kila siku itumike katika hikima kubwa sana, ila cha kusikitisha sana ni katika ya rasimali zinazopotezwa sana na watu isivyo kawaida. Watu wanapoteza katika kujishughulisha na mambo yasiyochangia chochote katika safari za Maisha yao, wanapotezea …

279;Ongeza Ufahamu Katika Hili Eneo Moja Muhimu La Fedha ilikojificha

Habari Rafiki, Kila siku ni siku ya kipekee mno ya kuendelea kumshukuru Mungu kwa mambo makubwa mawili Muda na Kuwa hai. Karibu tuendelee Kujifunza zaidi kuhusu maisha na yaliyomo, basi Katika yaliyomo neno fedha si geni hata kwa mtoto. Wote hujua fedha ni za muhimu sana katika nyanja za kimaisha katika kuhakikisha kuwa mahitaji yanapatikana …

278; Kiri Kauli ya Ushindi Kila Siku

Habari Rafiki, Wiki inapoishia na kuingia wiki nyingine tena ya mwisho kwa mwezi huu Januari. Ni muhimu kuendelea kujipa tathimini kubwa nje na ndani ya ratiba za kila siku, na moja ya eneo Kubwa sana Katika kujipa tafakari ya kina sana ni namna ya kauli zetu na namna tunavyokiri kila siku. Hii ndio tafakari ya …

277; Mambo 5 nilojifunza wiki ya tatu ya Mwezi Januari 2018

Habari, Kila siku muda huenda na hukimbia katika macho yetu. Kila siku huwa ni kama zawadi ya kipekee sana Mungu atupayo inayohitaji sisi kutumia kwa ubora ili kufikia malengo na hata kuzifika ndoto zetu tulizokuwa nazo na hamasa kubwa ikajengeka pale tulipoona katika saba ya 2017 imetoka na kuwa ni 8 kuitwa Mwaka 2018. Na …

276; Hamasa Itadumu kwa Kuendelea Kufanya Jambo hili.

Habari Rafiki na mfuatiliaji wa blogu hii ya figa la ushairi, chambuzi za vitabu na hamasa ya kuchukua hatua. Kila Mtu hupenda kuona akiendelea na jambo lake na mpaka hatua kubwa ya kufanikisha. Wengi huanza na mipango mingi siku hadi siku hamasa zao huishia njiani na hurudi katika hali ya umazoea. Pia huenda hata mwezi …

275; Ujasiri ni Nusu ya Ushindi

Lionekana kama mtu aliyechoka sana na kuonyesha dalili ya kushindwa na pambano, licha upande wa pili alikuwa bado ana hamu kubwa sana ya kuendelea kuzirusha ngumi zaidi kwa kwake. Hata walokuwa nje ya ulingo walishaona Nani wa kuchukua Ushindi,ni wazi kwa kila aliyekuwa na macho katika pambano lilokuwa na watu wengi kuliko mapambano yalowahi kutokea …

Design a site like this with WordPress.com
Get started