274; Hatua zako Zinapoanza kuwa na Changamoto Jua ndio Ukuaji umeanza kuvutia

Kila mtu hupenda kuona akipiga hatua siku hadi siku, hata kama ni hatua ndogo ndogo zenye mwendelezo hamasa hutengenezeka na kubwa zaidi ni msingi wa nidhamu unajiimarisha kila iitwapo Leo. Hivyo nikupe Hongera sana Rafiki kwa hatua ambazo umekuwa unaendelea nazo kwa nafasi hii ya uzima na muda Mungu katujalia. Jiboreshe katika hatua zako ndogo …

273; Ona Mbali zaidi ya Uonavyo Leo

Habari Rafiki bila shaka umeamka salama na u mzima, Tunamshukuru Mungu kwa nafasi hii ya uzima na Muda. Tujikumbushe kuwa kuna namna nzuri sana huvutia kwa kuona ndege kama tai arukaye juu sana na namna anavyoweza kuona chini na kupata mawindo Yake. Ni uwezo mkubwa sana wa kuona unaompa tofauti kubwa na ndege wengine, uwezo …

272; Hii ndio Faida Moja kubwa ya Maarifa Vitabuni

Habari Rafiki na mfuatiliaji wa blogu hii ya Figa la ushairi, chambuzi za Vitabu na hamasa za kuchukua hatua kila siku. Kila siku huwa ni siku ya kipekee sana ya kuchukua hatua na kuwa na wakati mzuri sana wa kujiboresha hatua kwa Hatua. Na nafasi ya uhai na muda ni nafasi za pekee sana za …

271: Uchambuzi wa Kitabu ~ YOU CAN WIN by Shiv Khera (Unaweza Kushinda)

Habari, Karibu katika kufaidika na maarifa chimbo la vitabu kwa kitabu bora sana cha mwongozo wa hatua kwa hatua kuelekea mafanikio kwa kujumuisha mambo 8 muhimu ambayo mwandishi Shiv Khera kutushirikisha uzoefu wake namna mafanikio sio bahati au ajali. Ila ni mkusanyiko wa hatua na mbinu zinazotumika ili MTU afanikiwe. Hichi kitabu cha kumpa MTU …

270: Usipuuze Hatua Ndogo ndogo kwa Kuwa Hazileti Matokeo ya Haraka Utakayo.

Salaam Rafiki na Msomaji wa blogu hii kila siku katika kujiboresha katika maisha ya kila siku, kwa kuwa na wasaa pia wa chambuzi za Vitabu na hamasa za kuchukua hatua kila siku. Nafasi hii tena uzima na muda ni ya kipekee sana kwenda kuwa watu bora sana na kumaliza siku yetu leo kwa Ushindi mkubwa …

269: Kauli Tupo Wengi, Kiuhalisia U Peke Yako.

Habari Rafiki na Msomaji wa blogu hii kila siku, niombe radhi Kwa kukosekana kwa makala Siku ya Jana kwa sababu zilizokuwa ndani ya uwezo wangu. Leo ni Siku ya kipekee tena ya nafasi ya uzima na afya Mungu katujalia kuifika ili tuendelee na hatua zetu, wakati wengine hawachukui hatua wewe Rafiki anza sasa kuchukua hatua. …

268: Uchambuzi wa Kitabu: Just Shut Up and Do It by Brian Tracy na Hatua 7 za Kushinda Malengo

Habari msomaji na Rafiki katika kujifunza kila siku kupitia blogu hii ya figa la ushairi, chambuzi za vitabu na hamasa za kuchukua hatua kila siku. Hii ni nafasi ya kipekee sana Mungu kutupa nafasi ya uzima na afya. Na pia ni wakati mzuri sana kwa mwezi wa kwanza kwa mwaka huu 2018 kuendelea na kuyaishi …

267: Haya ndio Macho Uyatumie kuona kiundani

Habari rafiki na mfuatiaji wa blogu hii kila siku, katika chambuzi za vitabu na hamasa za kuchukua Hatua kila. Kila siku ni ya pekee sana kwetu kwenda kujifunza na kujiboresha zaidi ya jana. Na nafasi hii ya kuwa hai na kuwa na muda ni ya kipekee sana. Safari hii ya kuendelea na kujifunza kila siku …

266: Huwezi Kukosa Kila Kitu, Kuna Hivi Unamiliki

Salam Kwako Msomaji na Rafiki, Nafasi ya Uhai na Muda ni ya pekee sana kumshukuru Mungu. Si kweli kuwa mtu anasema sina kitu, sina maana au sina thamani. Kuna upande ajajua bado katika upana wake. Tatizo la wengi huja kwa kutoona vilivyo karibu kuwa vina thamani mpaka vipotee. Na macho ya wengi huwa katika kuvifuta …

265: Tengeneza Mfumo huu wa Maisha Ili Iwe Rahisi Kupiga Hatua.

Salam Rafiki na Msomaji wa Blogu hii kila siku. Kila kilicho katika mfumo ni kazi sana kutoka nje ya mfumo husika uliopo. Na hii ndio nguvu ya mfumo wa aina yoyote ile, iwe ni mfumo wa upumuaji, au mfumo wa elimu au mfumo wa uongozi. Kubadili hali ya mfumo ni kuingia katika mfumo na kufanya …

Design a site like this with WordPress.com
Get started