254: Sipoteze Chote Ulichokitafuta Mwaka mzima mwishoni.

Habari mfuatiliaji wa blogu hii ya figa la ushairi, chambuzi za vitabu na hamasa za kuchukua hatua kila siku. Mwisho wa mwaka ni kipindi ambacho watu wengi hujumuika pamoja na kusherehekea sikukuu za krismasi na mwaka mpya pia. Nafasi ya kuwa na muda sasa pamoja na Uhai ni jambo la kumshukuru sana Mungu. Muda ndio …

253: Usiibe Muda Wako Kwa Staili Hii Mwaka 2018

Habari mfuatiliaji wa blogu hii ya figa la ushairi, chambuzi za vitabu na hamasa za kuchukua hatua. Kila siku ni zawadi katika maisha yetu na zawadi ya Uhai na Muda ni za kuheshimiwa na kumshukuru Mungu. Na nafasi hii ya kuelekea ukingoni katika mwaka huu 2017 kuna jambo muhimu sana katika kuziheshimu zawadi hizi ambazo …

252: Usipoteze Fedha hii Mwaka 2018

Habari mfuatiliaji wa blogu hii ya figa la ushairi, chambuzi za vitabu na hamasa za kuchukua hatua kila siku. Kila siku ni ya pekee sana kutunzwa na kuwekewa nguvu kubwa sana. Na tunapoelekea kipindi cha mwisho wa mwaka 2017, tusisahau kuwa na shukrani kwa Muumba kwa nafasi hii ya uhai na muda ambao tulipata kwa …

251: Ukomo wa Zawadi Kwa Mwaka 2018

Habari mfuatiliaji wa blogu hii ya figa la ushairi, chambuzi za vitabu na hamasa za kuchukua hatua niendelee kukupongeza kwa unayeendelea kuchukua hatua kidogo kidogo licha kwamba ni mwaka upo ukingoni 2017 kuelekea 2018. Ni nafasi ya kumshukuru Mungu kwa nafasi hii ya pekee sana ya Uhai na Muda. Karibu tushirikishane juu ya zawadi hizi …

250: Zawadi Mbili Kwako Kwa Mwaka 2018

Habari mfuatiliaji wa blogu hii ya Figa la Ushairi, chambuzi za vitabu na hamasa. Nikupongeze sana kwa safari ndefu ya pamoja katika kujifunza na kuchukua hatua, kama umekuwa wafuatilia blogu hii jina rafiki pia ni jina jema sana kwa ukarimu wako na kujitoa kwako. Naamini kuna hatua kubwa sana umepiga kwa mwaka huu. Yote haya …

249: Hii ndio Zawadi Kwako Mwaka 2018

Habari mfuatiliaji wa blogu hii ya figa la ushairi, chambuzi za vitabu na hamasa. Hakika imekuwa safari ndefu sana toka siku zipatazo 200 toka ianze blogu hii, tunamshukuru sana Mungu kwa nafasi ya kipekee mno kuweza kutupa uzima na afya mpaka kufika leo. Thamani hii ya Uhai na Muda ni ya kipekee sana, karibu ujue …

248: Shairi ~ Ukaribu Hujengwa

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku. Kila siku ni zawadi kubwa sana ya kutumia kwa uzuri kabisa katika kujiboresha na kumshukuru sana Mungu kwa upendeleo wa muda na uhai. Safari ya kujifunza iendelee kila siku pasipo kuchoka ili uzidi kuwa bora siku hadi siku. Kila kitu hujengwa kuanzia katika udogo wake na kufika hatua …

247: Jifunze Kujikosoa na kuwa tayari kupiga Hatua

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku. Kila siku huwa ina upekee wake hivyo unapokosa kuitumia vizuri kuna mambo unayakosa na huwa yanapita kwa siku hiyo. Tuna nafasi ya kuendelea kumshukuru sana Mungu kipindi hiki mwishoni mwa mwaka unapoenda kuishia, Tumia muda na nafasi hii ya uzima kuendelea kujiboresha zaidi kila siku, karibu tuendelee kujifunza …

246: Jitahidi Kujiboresha Kila Siku

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku. Kila siku ni zawadi ya kutupa kujifunza na kuishi lile kusudi la sisi kuwa hapa katika siku hizi na pumzi ndani yetu. Endelea kuthamini na kushukuru Mungu kwa nafasi ya uzima na zawadi ya Muda kila siku. Karibu leo siku ya 17 ya mwezi wa 12/2017. Imekuwa kawaida …

245: Mwezi huu wa 12 Jipe Mahesabu ya Mwaka

Habari mfuatiliaji wa blogu hii ya figa la ushairi kwa kuendelea kufuatilia kila siku, kutoka chambuzi za vitabu, kazi za ushairi na maandishi ya hamasa ya kupiga hatua zaidi. Nafasi ya kufika mwezi huu wa 12 ni jambo la kumshukuru Mungu kwa uzima na rasimali ya muda. Karibu tujifunze na kujikumbusha ili tuwe bora kila …

Design a site like this with WordPress.com
Get started