Kurasa chambuzi: 161 ~ 174 Habari mfuatiliaji wa tafakari na chambuzi za vitabu kurasa kwa kurasa leo tarehe 15/12/2017 ndio mwisho wa uchambuzi wa kitabu hichi. Kazi itakayobakia kwako na kwangu ni kuchukua hatua ili tupate matokeo makubwa siku hadi siku. Tumshukuru Muumba kwa nafasi hii ya Uzima na Muda anayotupa yenye ukomo siku moja. …
243: KITABU ~ You Are Born an Original Do not Die a Copy by John Mason Kurasa Jumla: 174 tafsiri iso rasmi (Ulizaliwa Orijino Usife Kama Kopi)
Kurasa chambuzi: 142 ~ 160 Habari mfuatiliaji wa tafakari na chambuzi za vitabu kurasa kwa kurasa leo tarehe 14/12/2017 ili kuendelea kujifunza na kuchukua hatuya ili maisha yetu yazidi kuwa bora kila siku. Nafasi hii ya Uzima na Muda ni ya kumshukuru Rabuka aliyetupa leo kufika. Kuna nguvu ndani yetu aloweka Muumba kupitia miito na …
242: KITABU ~You Are Born an Original Do not Die a Copy by John Mason Kurasa Jumla: 174 tafsiri iso rasmi (Ulizaliwa Orijino Usife Kama Kopi)
Kurasa chambuzi: 124 ~ 141 Habari mfuatiliaji wa tafakari na chambuzi za vitabu kurasa kwa kurasa leo tarehe 13/12/2017 ili kuendelea kujifunza na kuchukua hatuya ili maisha yetu yazidi kuwa bora kila siku. Nafasi hii ya Uzima na Muda ni ya kumshukuru Rabuka aliyetupa leo kufika. Kama ni mkulima basi afuataye kipindi au msimu wake …
241: KITABU~You Are Born an Original Do not Die a Copy by John Mason Kurasa Jumla: 174 tafsiri iso rasmi (Ulizaliwa Orijino Usife Kama Kopi)
Kurasa chambuzi: 71 ~ 100 Habari mfuatiliaji wa tafakari na chambuzi za vitabu kurasa kwa kurasa leo tarehe 11/12/2017 ili kuendelea kujifunza na kuchukua hatuya ili maisha yetu yazidi kuwa bora kila siku. Nafasi hii ya Uzima na Muda ni ya kumshukuru Rabuka aliyetupa leo kufika. Usikubali mtu mwingine akutabirie na kuharibu msimamo sahihi katika …
240: KITABU ~You Are Born an Original Do not Die a Copy by John Mason Kurasa Jumla: 174 tafsiri iso rasmi (Ulizaliwa Orijino Usife Kama Kopi)
Kurasa chambuzi: 51 ~ 70 Habari mfuatiliaji wa tafakari na chambuzi za vitabu kurasa kwa kurasa leo tarehe 10/12/2017 ili kuendelea kujifunza na kuchukua hatuya ili maisha yetu yazidi kuwa bora kila siku. Nafasi hii ya Uzima na Muda ni ya kumshukuru Rabuka aliyetupa leo kufika. Wakati mzuri na muhimu sana katika maisha ni SASA. …
239: KITABU ~ You Are Born an Original Do not Die a Copy by John Mason Kurasa Jumla: 174 tafsiri iso rasmi (Ulizaliwa Orijino Usife Kama Kopi)
Kurasa chambuzi: 30 ~ 50 Habari mfuatiliaji wa chambuzi za vitabu kurasa kwa kurasa ili kuendelea kujifunza na kuchukua hatuya ili maisha yetu yazidi kuwa bora kila siku. Nafasi hii ya Uzima na Muda ni ya kumshukuru Rabuka aliyetupa leo kufika. Usipoteze muda wako katika kuishi maisha yasiyo na maana. Ni hatari kuishi kiholela na …
238:KITABU ~You Are Born an Original Do not Die a Copy by John Mason Kurasa Jumla: 174 tafsiri iso rasmi (Ulizaliwa Orijino Usife Kama Kopi
Kurasa chambuzi: 17 ~ 29 Habari mfuatiliaji wa chambuzi za vitabu kurasa kwa kurasa ili kuendelea kujifunza na kuchukua hatuya ili maisha yetu yazidi kuwa bora kila siku. Nafasi hii ya Uzima na Muda ni ya kumshukuru Rabuka aliyetupa leo kufika. Jason Mason ni mwandishi wa vitabu vingi pamoja na IMPOSSIBLE IS POSSIBLE na IMITATION …
237: Ushairi Ni Bahari
Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku. Nafasi ya uzima ni ya pekee sana kila siku kwa kumshukuru Mungu kwa nafasi hii ya kipekee mno. Safari ya kujifunza inaendelea kila siku pasipo kuchoka, karibu katika kujifunza juu ya ushairi kama bahari. Ukubwa na kina chake ujue kwenda kuzama na kuibuka. 1. Nani liye mjuaji, azamie …
236: Vitabu ni Nyenzo Kurahisisha Kazi
Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku. Leo ikiwa ni siku ya 6 mwezi wa 12. Tunakila sababu ya kuendelea kumshukuru Rabuka kwa pumzi na nguvu ya kuendelea kujifunza kila siku pasipo kuchoka. Kujifunza ni njia bora sana ya kupiga hatua kubwa sana, kuwekeza katika maarifa sahihi si kupoteza muda bali ni kulinda muda na …
235: KITABU ~TALENT POWER ( Unleash Your Talent. Manifest Your Greatness ) na Mwandishi Praise George
KURASA 1 - 63 Habari mfuatiliaji na rafiki wa chambuzi za vitabu. Leo ikiwa ni siku ya 5 ya Mwezi wa Kumi na Mbili. Ni jambo la kumshukuru sana Mungu kwa uzima na afya, karibu katika kitabu hiki tujifunze na kisha tuchukue hatua. Uwezo uliopo ndani ya mtu ndio moja ya njia ya kufika uwezo …