214: Miaka 9 Katika Sanaa ya Ushairi na Mambo nayoendelea Kujifunza kila siku

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku. Ni furaha kubwa sana unapojua kuna kitu katika maisha kinachokupa utoshelevu na kinachokupa sababu ya kutabasamu, basi mojawapo ni fani hii ya Ushairi. Namshukuru sana Mungu kwa nafasi ya pekee sana ya kipindi cha miaka ipatayo 9 sasa tangu mwaka 2008 nilipoanza kupendezwa na fani hii ya fahari …

213: Mambo 5 niliyojifunza Siku ya Leo

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku. Kila siku ni nafasi kwetu kumshukuru Mungu na kuitumia vizuri sana katika yale yakutusogeza katika hatua nyingine zaidi. Uwepo wa Uhai ndio thamani kubwa sana ya kufanya yale yaliyo muhimu na yenye kugusa maisha ya watu na yakawa bora zaidi, Karibu tuendelee kujifunza kila siku, Leo nina mambo …

211: Ghala Za Wahenga…4

Mchumia Juani hulia Kivulini ya tarehe 13/11/2017 Habari ya siku mpya tena, ni siku ya pekee sana. Ni mfano wa karatasi safi bado kuandikwa chochote, wewe ni mwandikaji nini uandike katika ukurasa huu kwa nafasi ya leo yenye kuwepo kwa Muda. Nafasi ya pumzi ni ya pekee sana kumshukuru Mungu, na kutumia Muda wako vizuri …

210: Jikumbushe Kuandika Tarehe

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku. Kila siku ni siku ya pekee sana katika maisha yetu ya kutumia nafasi ya uzima kwa kutunza muda kwa kuwekeza katika yaliyo muhimu na yenye tija katika maisha yetu ya kila siku. Ni jambo la kumshukuru sana Mungu kwa nafasi hii ya pekee sana kujifunza, kujiboresha na kupiga …

209: Kazi ya kusukuma Kamba

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku. Kila siku ni ya pekee sana kufanya mambo makubwa na kuweka juhudi zaidi. Na nafasi ya uzima na afya ni ya pekee sana kumshukuru Mungu kwa kutunza muda hata kama ni dakika chache. Dakika chache zikitumiwa vizuri ni nyingi kwa ajili ya kuleta mabadiliko makubwa ndani ya maisha …

208: Mazungumzo Sirini….2

Ni mazungumzo yaliyokua yakiendelea sirini kati ya Mwaka 2017 na Mimi, Upendo wao ulikua mkubwa kati yao ila katika mazungumzo yao ndipo walipokua wanachambua na kuyaweka mambo bayana Mwaka 2017: Nilijitoa kwako nikakupa Masaa, Siku, Majuma, Hata Miezi ulitaka nikupe nini ?....... Mimi: Kweli ulinipa lakini.... Mambo yalinibana sana nakuona siwezi kuambatana nawe Mwaka 2017: …

Design a site like this with WordPress.com
Get started