_Subira yavuta heri_ Habari ya siku mpya tena, ni siku ya pekee Sana ambayo hakuna ajuaye ishio na mambo yazaliwayo siku ya leo, licha kurudiwa kwa mambo hutokea kila siku. Nafasi ya pumzi ni ya pekee sana kumshukuru Mungu, na kutumia Muda wako vizuri ni ishara ya thamani ya kuthamini fursa hii ya kuwa hai. …
203: Mambo yape Muda Huku Ukiweka Jitihada
Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku. Kila siku ni ya pekee sana kwako kufanya kitu kinachokusogeza hatua moja hadi nyingine. Na nafasi ya uzima ni ya pekee sana kumshukuru Mungu, nafasi hii ni ya muhimu hasa katika kutunza muda wako kwa uzuri na ukasogea hatua moja hadi nyingine. Na safari ya kujifunza inaendelea kila …
Continue reading "203: Mambo yape Muda Huku Ukiweka Jitihada"
202: Jitenge na Kelele, Tengeneza Muda Huu
Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku. Kila siku ni ya pekee sana kutumiwa kwa uzuri na kumshukuru Mungu kwa nafasi ya uzima na afya. Kama afya yako haipo imara nafasi ya kuwa mzima ni jambo la kusema asante kwa Rabuka. Kila siku husogea na nyingine siku huja na mrudio huendelea hivyo licha siku huwa …
Continue reading "202: Jitenge na Kelele, Tengeneza Muda Huu"
201: Kila Siku Nenda Hatua kwa Hatua
Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku. Kila siku kwako ni siku ya pekee sana huenda na hairudi nyuma zaidi ya kwenda mbele kila siku. Nafasi ya kuwa mzima na afya ndani yako ni fursa ya kumshukuru sana Mungu kwa nafasi hii, nafasi hii ni ya kutunzwa na kuwekeza muda wako katika maeneo yenye tija …
200: Hizi ndizo Faida 3 za kufanyia kazi ulichojifunza
Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku. Kila siku ni ya pekee sana kwetu kujifunza na zaidi kumshukuru Mungu kwa nafasi ya uzima na afya ndani yetu. Na nafasi hii ya pekee ni pamoja na zawadi ya Muda kwa ajili ya kuendelea kujifunza na kujiboresha zaidi ya jana. Kila siku itumie kwa uzuri wake na …
Continue reading "200: Hizi ndizo Faida 3 za kufanyia kazi ulichojifunza"
199: Shairi Beti 30 Kwa Siku 30 Mwezi Novemba
Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku. Ni mwezi wa pekee kabisa ukiwa ni mwezi wa pili kwa umwisho kwa safari ya mwaka huu 2017. Ni jambo la kumshukuru sana Mungu kwa nafasi ya pekee sana ya kuona na kuwa na pumzi kwa mwezi huu tena. Karibu katika shairi la mwezi huu wa 11 ukiwa …
Continue reading "199: Shairi Beti 30 Kwa Siku 30 Mwezi Novemba"
198: Neno la Shukrani Mwisho wa Mwezi Oktoba
Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku. Ni jambo la kumshukuru sana Mungu kwa nafasi ya pekee ya uzima na afya. Muda huu unaopatikana ni wa pekee mno na unastahili kupewa heshima kubwa sana kwa kutumia vizuri kila lisaa na siku. Karibu katika mwisho wa mwezi huu wa kumi kiwa tarehe 31/10. Karibu tushiriki neno …
Continue reading "198: Neno la Shukrani Mwisho wa Mwezi Oktoba"
197: Uchambuzi Wa Kitabu: BINADAMU NA MAENDELEO Na Mwl Julius K. Nyerere na Mambo 25 Niliyojifunza
Habari mfuatiliaji wa blogu hii ya figa la ushairi na chambuzi za vitabu mbalimbali ili kujenga fikira zetu kwa maeneo tofauti ya maisha ya mwanadamu. Nafasi ya kuwa na pumzi na muda ni ya pekee na kumshukuru sana Mungu. Lazima tutambue kuwa hazina ya Mwl Nyerere katika taifa hili ni kubwa sana hasa maandiko yake, …
196: Kinyama Kinonile Haudodo
Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku. Kila siku ni ya pekee kwetu kumshukuru Mungu kwa nafasi ya uzima na afya na nafasi ya Muda kwetu. Muda ndio rasimali muhimu sana kwetu kuheshimu na kuitumia kwa uzuri sana. Na ndio hutupa fursa ya sisi kujifunza na kujiboresha kila iitwapo leo. Karibu sana tuendelee kujifunza na …
195: Kipimo cha Kuelewa Jambo ni Kutenda
Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku. Kila iitwapo leo ya tarehe husika ni siku ya pekee mno kuweka nguvu na kujiendeleza kwa kila hatua yako. Nafasi hii pia ya pumzi ni ya pekee sana kuheshimu na kuendelea kujiboresha kila siku. Nayo safari ya kujifunza haijaisha, bado ikiendelea kwa ajili ya mtu kusonga mbele zaidi, …