Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku. Nafasi ya uzima na afya ni ya kumshukuru sana Mungu, na kutumia muda wetu vizuri ni njia ya kuheshimu nafasi na fursa hii ya kuwa na pumzi ndani yetu. Mwezi ulianza na sasa Mwisho waelekea katika Kuisha Kwake, Karibu tushirikishane mambo niliyojifunza mwezi huu wa Kumi kwa pamoja …
Continue reading "194: Mambo 26 Niliyojifunza Kwa Siku 26 za Mwezi Oktoba"