Habari za Jioni mfuatiliaji wa blogu hii, nafasi ya kuiona jioni ni ya pekee kama ilivyokuona asubuhi. Nafasi ya jioni ni nzuri kwa tafakari na kuangalia siku yako ilikwendaje kwa undani zaidi. Kujifunza kila siku ni muhimu sana kwa ajili ya kujiboresha sana na kupiga hatua moja hadi nyingine. Karibu sana katika shairi hili lisemalo …
173: Jioni ni Mahesabu
Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku. Ni jambo la kumshukuru Mungu kupata nafasi ya uzima na afya kwa kuanza nayo siku ya leo na jioni imeshaingia ikiwa ni siku ya 4 mwezi wa Oktoba. Kuna mengi katika kujifunza katika maisha toka jua limechomoza na hata usiku unapoingia ni masaa mengi yamepita endapo ulikaa katika …
172: UCHAMBUZI ~MAMBO 20 KUJIFUNZA KITABU TEACH YOUR CHILD HOW TO THINK by Edward Debono
Habari ya siku nyingine mpya na ya 3 Katika Mwezi huu Oktoba. Nafasi ya Pumzi ni ya pekee mno kuipa heshima katika matumizi ya Muda siku ya leo. Muda huu tumia kujifunza na kujiboresha zaidi ya Jana. karibu katika Kitabu cha Mwandishi mbobezi katika Vitabu Juu ya Kufikiri kwa Kutafuta Njia nyingi zaidi ya kubaki …
171: Bado Muda Bado Muda
Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, leo ikiwa ni tarehe 2 ya mwezi wa 10 ikiwa ndo mkiani mwa mwaka unaishia ishia. Nafasi ya kuwa hai na uzima si ya kupuuzia hata kidogo, ni jambo la kumshukuru sana Mungu. Nafasi ya Muda kutumia ni ya pekee sana si ya kupotezwa wala kuachwa tu ipite …
170: Shairi Beti 31 Mwezi Oktoba
Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku. Heri ya Mwezi Mpya Mungu katujalia nafasi ya Pekee ya Uzima na Afya kuendelea na Kutumia Nafasi ya Muda. Hili ni shairi mwanzo wa Mwezi kubeba chakufanya Mwezi Huu Oktoba, Karibu Utajifunza Kitu 1. Nikushukuru Mwenyezi, Muumba wa Vitu Vyote Uzuri wa zako kazi, Na hii miliki yote …
169: Leo Septemba 30 na Uchambuzi wa Shairi Nilokua Nimeandika Tarehe 1/9. Kuna Nguvu Katika Kuandika
Habari mfuatiliaji wa blogu hii ya Figa la Ushairi. Ni nafasi ya Pekee sana ya Pumzi Mungu katupatia kutumia vizuri na kuthamini Muda tulopewa wa kuwepo. Nikushukuru wewe msomaji kwa kuendelea kujifunza na kusoma na kuchukua hatua kila siku. Leo ikiwa ni mwisho wa mwezi wa tisa na kuelekea mwezi wa 10, niliandika Shairi hapo …
168: UCHAMBUZI: Mambo 25 Niliyojifunza Kitabu CHANGE YOUR THINKING, CHANGE YOUR LIFE ( Badili Unavyofikiri, Ubadili Maisha Yako )
Habari ya siku nyingine tena. Leo ni siku ya pekee sana, nafasi ya uzima na afya ni jambo la kumshukuru sana Mungu. Karibu katika uchambuzi wa Kitabu hiki cha Mwandishi Mkongwe na mbobezi katika eneo la kujiboresha na kutengeneza tabia nzuri za kuishi Maisha bora na ya Kupiga Hatua na huyu si Mwingine ni Brian …
167: Baadaye huwa si tena Baadaye
Habari mfuatiliaji na msomaji wa blogu hii kila siku. Leo ni siku ya pekee sana na ni nafasi kwetu kwenda kufanya yaliyo muhimu na kuzidi kujiboresha kila inapoitwa leo. Muda tulonao leo ni nafasi pia ya kuutunza katika kufanya katika yale ya kutusaidia kupiga hatua kila siku. Karibu nikushirikishe jambo litakalokusaidia kuwa bora zaidi. Neno …
166: Anza Matengenezo Na Ratiba Zako za Kila Siku
Habari mfuatiliaji wa blogu ya figa la ushairi kila siku. Leo ni siku ya pekee kama ulivyo ukurasa mpya kabisa usoandikwa chochote unaosubiri mwandikaji ashushe wino wake na kuandika kitu. Nafasi hii ya leo ya kuwa na nafasi ya pumzi ni jambo la kumshukuru sana Mungu, kwenda kuutumia Muda vizuri ni njia pekee ya kuheshimu …
Continue reading "166: Anza Matengenezo Na Ratiba Zako za Kila Siku"
165: Muda tulionao Ni Mchache Kuliko Wingi wa Mipango yetu
Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, bila shaka ni siku ya pekee sana kuendelea na majukumu kwa kuhesabu kuwa kila siku ni kama tofali la ujenzi wa nyumba ya mafanikio yako kwa mapana yake. Mshukuru Mungu kwa nafasi ya pumzi na afya alokujalia ili upate nafasi ya kuendelea na kujiboresha kila siku. Karibu nikushirikishe …
Continue reading "165: Muda tulionao Ni Mchache Kuliko Wingi wa Mipango yetu"