Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku. Kila siku ni ya pekee sana kuendelea na majukumu ya kila siku. Safari ya kuendelea na kujifunza ni ya muhimu sana kwa ajili ya kupiga hatua. Mwezi wa tisa ulianza na sasa unaelekea katika mwisho wake. Nakukaribisha katika Mambo 25 niliyojifunza mwezi huu ambayo yataendelea kutufanya kuwa bora …
Continue reading "164: Mambo 25 Niliyojifunza Siku 25 Za Mwezi Wa Tisa"