Shairi: Utumwa wa tumbo usizidi wa Ubongo Karibu Pishi hili kulighani na Ujikumbushe na Kujifunza zaidi, Karibia na umalize kula pishi hili. Kiandae Chakula cha Tumbo Ubongo usipige kikumbo Lijaze kwa milo lako tumbo Usilishe Ubongo makombo Utumwa wa tumbo usizidi wa Ubongo. Andaa maakuli mezani Sisahau vitabu kichwani Kawashe nao moto jikoni Sipuze bongo …
153: Sababu 2 Kwanini? Ujifunze kwa Waliokutangulia
Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, bila shaka kiu ya kusonga mbele zaidi ya jana ipo. Na ndio jukumu na kusudio kwa kila mmoja kuona hatua kwa hatua zikisogea. Nafasi ya kuwa na Pumzi ni ya pekee sana kuendelea kutoa mchango wa kimawazo kwa ajili ya kuboresha na kukuza jamii zetu, zizidi kupiga hatua …
Continue reading "153: Sababu 2 Kwanini? Ujifunze kwa Waliokutangulia"
152: Hii Ndio Fedha Unayomiliki Yenye Kukupa Uwezo Wa Kununua Chochote
Habari mfuatiliaji wa Blogu hii Kila Siku. Ni jambo la pekee sana kila siku unapopata nafasi ya pumzi na afya ya kupambana na kuendelea na Mipangilio mbalimbali ya kimaisha. Nafasi ya pumzi ni ya kuipa uzito mkubwa maana ndio thamani katika mwili wa mtu na viumbe wengine wote. Niendelee kukupongeza wewe unayeendelea na safari ya …
Continue reading "152: Hii Ndio Fedha Unayomiliki Yenye Kukupa Uwezo Wa Kununua Chochote"
151: Hii Ndio Zawadi ya Kuipa Heshima Sana
Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku. Leo ni siku ya pekee tena kumshukuru Mungu aliyetupa nafasi tena baada ya kulala na kuweza tena kuamka kwa tarehe 12/09 ili kuendelea na majukumu ya kila siku. Nafasi hii ni ya pekee sana kujiboresha, kujifunza na kuanza mambo ya kusema kesho kesho. Leo ndio jana uliisema kesho. …
Continue reading "151: Hii Ndio Zawadi ya Kuipa Heshima Sana"
150: SHAIRI – JIONI HUTUFIKA WOTE
JIONI WOTE HUTUFIKA U hali gani na siku, kwangu likuwa Salama Vipi mebaki shauku, ya Asubuhi Mapema? Karibu figani huku, Ninalo jambo kusema Jioni mwisho wa Siku, Jipe kujitafakari Kuifikia Jioni, giza huja hufunika Ulipotokea ndani, kazi zende kufanyika Na shuka la kitandani, Ilibidi kuachika Jioni mwisho wa Siku,Jipe Kujitafakari. Masaa mepukutika, jioni ikishafika Ulopanga …
149: Zijue Sababu 3 Kwanini? Upate Muda Wa Faragha Katika Maisha Yako
Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku. Kuona siku nyingine ni nafasi ya pekee sana kumshukuru Mungu kwa kuheshimu muda ulopata na nguvu na pumzi katika kujiboresha na kujiendeleza kila siku. Safari hii ya kujiboresha haijaisha bado inaendelea kila siku pasipo kukoma. Muda ndio rasimali muhimu sana ikienda huwa hairudi tena, itunze sana itakutofautisha na …
Continue reading "149: Zijue Sababu 3 Kwanini? Upate Muda Wa Faragha Katika Maisha Yako"
148: Tabasamu La Mtoto
Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku. Bila shaka umekua unaendelea na mapambano kwa kujifunza na kutumia muda na nafasi ya pumzi kuishi kile umepewa uishi. Safari ya kujifunza si ya hasara bali ina faida nyingi sana moja wapo ni kukusogeza katika ndoto zako kila siku. Karibu nikushirikishe utenzi kuna kitu utajifunza. Maisha ni safari …
147: Kila Siku Mambo Hubadilika, Uwe Tayari kwa Mabadiliko
Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku bila shaka siku yako bado mbichi kabisa kuwa na nafasi ya kuendelea na zoezi la kujifunza na kujiboresha. Kupata fursa ya uzima na afya ni jambo la kumshukuru Mungu. Kutumia muda wako vyema ndio heshima pekee ya nafasi hii ya pumzi na nguvu. Karibu nikushirikishe utakayoyafanyia kazi ili …
Continue reading "147: Kila Siku Mambo Hubadilika, Uwe Tayari kwa Mabadiliko"
146: Ndio Nyingi zimeleta Mzozo, Jifunze Somo Gumu la Hapana
Salamu na Pole na Majukumu ya Kutwa nzima. Siku ilianza na sasa ni jioni giza la anga limekua la kutufanya wote kuwa sawa. Huenda Uliyopanga asubuhi sio ulotaraji jioni, na huenda pia siku yako umefanikisha baadhi au kwa kiwango ulotegemea kufanya. Ikiwa unayo pumzi na afya ni jambo la kumshukuru Sana Mungu kuwa nafasi ipo …
Continue reading "146: Ndio Nyingi zimeleta Mzozo, Jifunze Somo Gumu la Hapana"
145: Akili ya Mazoea Hupunguza Thamani ya Mambo au Vitu, Jipime
Habari mfuatiliaji wa blogu kila siku. Ni muhimu sana kuwa na moyo wenye wingi wa shukrani kwa Mungu kwa nafasi ya pumzi, na afya. Na hata kama haupo sawa kiafya u mzima bado ni jambo la kumshukuru Sana Mungu. Pole na Majukumu yako na hongera Pale ulipoweza kufanya. Wakati wa jioni ni mzuri sana kwa …
Continue reading "145: Akili ya Mazoea Hupunguza Thamani ya Mambo au Vitu, Jipime"