134: Muda Unatupa Nafasi ya Kujiongeza

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, bila shaka siku yako imeenda vizuri katika mipangilio yako ulokua umepanga asubuhi, kama umefanikiwa basi unastahili kupongezwa maana tupo katika wakati wa muda wetu kuporwa kwa mambo mengi sana ukianza na simu tu hapo ni tatizo katika wakati huu. Yote ya yote Pumzi ndio jambo la kumshukuru Mungu …

133: Kauli Ya Bado Muda

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, bila shaka siku yako ilienda vizuri na kama uliweka juhudi basi sina shaka kuna hatua leo umepiga kuelekea ndoto yako. Na kama ulishindwa kabisa kufanikisha basi jipe tafakari wapi tatizo?, ili fursa ikipatikana ya pumzi urekebishe na kufanya kwa ubora sana, Mshukuru Mungu kwa pumzi na afya pia …

132: LIJUE NAMNA YA KULILA PISHI USIICHOKE SAFARI

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, kwanza ya yote pole na majukumu yako na hongera sana pale ulipoweza, leo ni tarehe ya pekee katika historia 22/08/2017 kuwa pishi katika figa la ushairi lipo tayari na waweza kuanza kula, namshukuru sana Mungu kwa nafasi ya uzima na pia nikushukuru sana kwa uvumilivu wako mkuu kwa …

131: Maisha ni Safari ya Kujigundua

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, bila shaka siku yako imeisha kwa kujifunza au kuanza kitu fulani, ila kama ilipita tu bure, unayo nafasi sasa ya kuthamini muda wa leo kujipa tathimini zaidi, Muda ni Maisha, kadri tusivyoupa nafasi na kuupuza ndivyo tunaendelea kumega sehemu ya Maisha yetu, karibu nikushirikishe ili uzidi kuwa bora …

130: MAMBO 26 NDANI YA SHAIRI SIKU YA KUMBUKUMBU YANGU YA KUZALIWA

Ni Furaha Kubwa sana Siku hii Miaka kadhaa ilopita, Nakushukuru Mungu Wangu kwa Pumzi Mpaka leo sichukulii kawaida kuwa hai, Asante Wazazi wangu kwa Upendo wenu na Malezi yenu, na Upendo huu mwingine ni kwa wote mpaka nimefika hapa, namshukuru Mungu, kuwa na pumzi ni neema ya Rabuka, karibu tukumbuke na kufurahia siku ya leo …

130: MAMBO 26 NDANI YA SHAIRI SIKU YA KUMBUKUMBU YANGU YA KUZALIWA

Ni Furaha Kubwa sana Siku hii Miaka kadhaa ilopita, Nakushukuru Mungu Wangu kwa Pumzi Mpaka leo sichukulii kawaida kuwa hai, Asante Wazazi wangu kwa Upendo wenu na Malezi yenu, na Upendo huu mwingine ni kwa wote mpaka nimefika hapa, namshukuru Mungu, kuwa na pumzi ni neema ya Rabuka, karibu tukumbuke na kufurahia siku ya leo …

129: Jioni ifikapo Jikumbushe Jambo hili

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, pole na hongera na majukumu yako ya uwajibikaji kila siku, huenda kuna mengi sana umekumbana nayo leo huenda yaweza kuwa ni sawa na matarajio yako au yakawa yameenda ndivyo sivyo, ila hakuna jambo jema kama kupata nafasi tena ya Pumzi kwa kuwa unaweza kufanya kitu cha tofauti, karibu …

128: Usisahau Kuwa wewe ndie wa Kuwajibika

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, nimekuwa najifunza kila siku kuwa muda unaenda sana, jua lichomozapo hadi kuzama najifunza mambo mengi na kubaki na mtihani mkubwa sana kuwa lini nitafanikisha? Malengo yangu, lini nitazidi kusogea hatua. Huenda nawe una maswali kama yangu kuwa lini lifanikisha. Lakini katika yote haya hakuna mtu kwa siri anazidishiwa …

127: Umahiri wa Mwandishi Ben R. Mtobwa Kitabu Zawadi ya Ushindi

Habari mfuatiliaji wa Blogu hii, hakika naamini siku kama ya leo ilikua njema kwako, na hata kama ilizaa yaletayo shida, huzuni na mateso. Kama uhai haujaguswa bado upo ni nafasi ya kipekee sana ya kumshukuru Mungu.kwa kuwa una uwezo wa kufanya maboresho na kuishi kile umepewa muda kukiishi endelea kujituma na kukifikiri kila siku, karibu …

126: JUU YA ARDHI YA AFRIKA

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, leo tunapoendelea na tafakari ushairi huu kuhusu Afrika niliutunga kutazama hali ya Afrika na wakati ujao, Karibu ulisome na hata ukiliweza kughani pia Huenda kufarijika, kwa uzuri wa ramani Kilio changu Afrika, Machozi yapo Machoni U wapi? We Afrika, lobakia mdomoni Tumekusoma shuleni,Ajabu hujaitika Iko haja gani?, ubakie …

Design a site like this with WordPress.com
Get started