Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila, huenda siku yako ilikua njema sana na una ushahidi wa wazi kabisa kama umefanikiwa au umekwama katika ulotegemea leo kuyafanikisha. Ila jambo la kumshukuru Mungu kuwa Muda pekee ndio tabibu wa kuyatibu Mambo mengi katika maisha yetu. Endelea Kujipa tathimini ya Maisha kuwa wewe ndio mwajibikaji wa kwanza kufanikisha …
Continue reading "125:Kila Kitu Utaweza Kukipata Ukiwa Tayari Kukilipia Gharama"