Salamu ya Leo Uhali Gani? Ndugu na Mfuatiliaji wa Blogu hii, leo nakutakia salamu ya Siku yako ikawe yenye Mafanikio na Kupiga Hatua zaidi, Bila Shaka umepata nafasi ya Pumzi na afya ya kuendelea na kujiboresha Karibu nikushirikishe Utenzi huu, na Asubuhi yako ikawe njema sana Utenzi: Kifaranga Yaini Ni kweli natamani kutoka Ndani nikihangaika …
114: Maisha yetu yanajengwa Hapa uamkapo na Urudipo Kulala
Pole na Majukumu yako ya siku, bila shaka unaendelea vizuri kiafya. Maana afya ni jambo la muhimu sana licha ni kweli utakutana na misemo pambana na hali yako, ila afya ni kila kitu. Mshukuru Mungu kwa nafasi hii ya jioni. Unaweza ukawa ni shahidi ni namna gani siku yako ilikwenda, Kama kuna sehemu paligoma nafasi …
Continue reading "114: Maisha yetu yanajengwa Hapa uamkapo na Urudipo Kulala"
113: Ukiangalia Kiundani Sana Utakuta Wewe Ndio Kikwazo cha Kusogea Mbele
Habari za Jioni Mfuatiliaji wangu, Pole na Majukumu ya kazi zako, wewe ni shahidi namna siku yako ilikwenda toka asubuhi na sasa giza likaribu kuingia. Huenda ulisema mengi kuwa ifikapo jioni ningefanikisha jambo fulani, na ukawa umefeli kwa sababu nyingi pengine ni wewe, Jaribu kupima kiundani mwenyewe. Kama mambo yalikwendea vizuri basi jipange na kujiboresha …
Continue reading "113: Ukiangalia Kiundani Sana Utakuta Wewe Ndio Kikwazo cha Kusogea Mbele"
112: Anza Mwezi wa Nane na Picha ya Kumaliza Kwa Kufanikisha Malengo ya Mwezi
Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku. Ni jambo la kumshukuru sana Mungu kwa pumzi na nguvu tena kufika mwezi mpya wa nane, ni mwezi wa mpya na tarehe mosi ya mwezi huu. Hongera sana kwa kuendelea na safari ya malengo, kazi, jukumu au ndoto yako. Kama ilivyokua mwezi ulopita ulianza na ukaisha vivyo nao …
Continue reading "112: Anza Mwezi wa Nane na Picha ya Kumaliza Kwa Kufanikisha Malengo ya Mwezi"
111: Jambo Moja Lakujikumbusha Tarehe 31 Julai na Mwezi Unaokuja
Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, nikupongeze sana kwa sehemu na hatua uliyoweza kusogea kwa mwezi huu wa saba na leo ikiwa ni siku ya kumaliza mbio za siku 31. Huenda kuna mengi sana ulipanga kuwa mwezi wa saba ningefanya moja mbili tatu. Mwezi umeisha na unaingia mwezi mwingine wa Nane. Naamini kuna kitu …
Continue reading "111: Jambo Moja Lakujikumbusha Tarehe 31 Julai na Mwezi Unaokuja"
110: Ujasiri wa Simba Mwituni Haijalishi Ukubwa wa Tembo na Urefu wa Twiga
Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku. Bila shaka wikendi yako ilikwenda vizuri na ni wakati wa kujipanga kwa ajili ya kuanza wiki mpya tena inayoanza na mwezi wa nane. Muda ni rasimali adimu ya kutunzwa kila siku za maisha yetu, wakati huu ni wa pekee sana wa kuendelea kujifunza zaidi na zaidi, karibu tushirikishane …
Continue reading "110: Ujasiri wa Simba Mwituni Haijalishi Ukubwa wa Tembo na Urefu wa Twiga"
109: MWEZI UNAPOISHIA JIKUMBUSHE MALENGO YAKO YA MWAKA
Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, nikupongeze kwa siku kwenda vizuri na hata kama mambo yalikwama kwa namna moja ama nyingine kama u mzima bado nafasi unayo ya kujipanga tena na kujiboresha kila siku. Muda ni rasimali yetu kila siku inaenda wala haisimami. Nafasi hii ya Muda ni ya kuendelea kuipa nafasi ya heshima …
Continue reading "109: MWEZI UNAPOISHIA JIKUMBUSHE MALENGO YAKO YA MWAKA"
108: Kauli ya Chini ya Miaka 18
Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, leo ni siku ya pekee machoni petu. Kuiona ni neema kubwa sana na kuwa na pumzi na afya ni mtaji wetu wa kwanza, mshukuru Mungu kwa nafasi hii ya pekee, na kuthamini nafasi hii ni kutumia muda vizuri kwa kuwa ni rasimali adimu isiyoweza kulipwa ikipotezwa na pia …
107: MAMBO 27 NILIYOJIFUNZA SIKU 27 ZA MWEZI JULAI
Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, ipo sababu ya kumshukuru Sana kila siku kwa uzima na afya katika miili yetu. Na kama haupo vizuri kiafya pole na ni maombi yangu uwe mzima uendelee na shughuli za kujenga taifa. Muda unakimbia sana mwezi wa saba unaishia sasa, nimekuwa najifunza kila siku kwa mfululizo wa siku …
Continue reading "107: MAMBO 27 NILIYOJIFUNZA SIKU 27 ZA MWEZI JULAI"
106: Ni Vitu Vidogo Katika Maisha vyenye Kuleta Thamani na Maana ya Maisha
Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, leo imekua siku njema sana ya kwenda kufanya makubwa na kwa kujituma zaidi, Kuwa na Pumzi na afya ni neema kubwa sana katika Maisha yetu, Nafasi hii si ya kupuuzwa hata kidogo. Ikiwa jana ilishindikana leo unayo nafasi ya kufanya kwa upya na kwa uzuri zaidi, na wakati …
Continue reading "106: Ni Vitu Vidogo Katika Maisha vyenye Kuleta Thamani na Maana ya Maisha"