105: KALAMU YA MWANDISHI- BABU,BIBI NA MJUKUU

Karibu Msomaji na Mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, karibu katika simulizi halisi za kuelimisha na kutukumbusha kila siku, tutakua tukiendelea kupata nafasi hii ya pekee na Mwalimu wetu Emmanuel Makwaya, Karibu tujifunze pamoja katika simulizi ya BABU,BIBI NA MJUKUU Mjukuu: Mmh babu, hadi leo unadeka kwa bibi khaaah. Bibi : 'akiwa anacheka' embu mwambie …

105: Tunapokea Habari Nyingi Kuliko Tuwezazo kuzisoma, Chagua Eneo lako uwekeze

Habari ndugu na rafiki wa blogu hii kila siku, pole na majukumu ya kazi zako, kadri giza lianzapo huashiria mwisho wa siku yenye jua kuisha na muda wa usiku huingia kwa haraka, siku yako imekuaje ? Pole pale mambo yalienda vibaya tofauti na ulivyopanga, kama ungali bado na pumzi ipo nafasi ya kujiboresha na kujaribu …

104: Usidharau Hatua Ndogo, Jinoe Kila Siku Pasipo Kuchoka

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, leo ni fursa ya pekee sana katika macho yetu, Ashukuriwe yeye atupaye nafasi ya pumzi na afya ya kuendelea kujiboresha na kujifunza kila siku. Leo ni sura nyingine ya kitabu cha maisha yetu inayopaswa kuandikwa vizuri zaidi ya ilivyokua hapo jana, leo ni uwanja mpya tena wa kujirekebisha …

103: Vita ya Umaskini wa Kipato Si kubwa Sana kama Vita ya Umaskini katika Maeneo haya 7

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, u hali gani katika majukumu yako? Bila shaka siku yako ilianza vizuri na kama ilienda vibaya tofauti na kuona kwako basi nafasi ipo ya kutafakari nini? Kilikua tatizo na upate nafasi ya kurekebisha na kujiboresha zaidi. Urefu wa siku huenda haraka sana ukiangalia jua lilipochomoza na muda jua …

102: Mazoezi ya Kijeshi hutufundisha Uvumilivu na kujiandaa kwa Ushindi

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, leo ni siku ya pekee kabisa. Pumzi na afya ni zawadi kutoka kwa Mungu, hivyo shukrani ni wimbo kwa kinywa cha Mtu. Leo ni fursa tena ya sisi kuendelea kujifunza zaidi, hivyo muda ulionao leo ni rasimali ya pekee ya kuwekeza katika kuboresha ndoto zetu, kazi zetu na …

101: Utenzi na Kanuni 5 zinazoongoza Utendaji kazi wa Ubongo

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, ni siku ya pekee sana leo kuendelea na juhudi katika malengo na ndoto za mtu kuzitimiza. Ni jambo la kumshukuru Mungu kwa pumzi na uzima ya kuweza kuona siku ya leo, pia nikupongeze msomaji wangu kwa hatua ndogo niliyopiga ya jumbe 100 kuziandika, ni jambo la kutia nguvu …

SHUKRANI KWAKO MSOMAJI WANGU KWA JUMBE HIZI 100

Habari mfuatiliaji wangu wa blogu hii kila siku, hakika nitumie nafasi hii kukushukuru kwa namna yoyote ile umekua unatumia muda wako katika kusoma na kujifunza katika blogu hii, umekua rafiki na mtu wa karibu katika kujifunza zaidi. Leo yatosha kusema neno ASANTE Nimejifunza mengi sana katika safari hii ya kuandika kila siku mpaka kufikia jumbe …

Wanasema Tembea Uone, Ila Tuongezee na Soma Ufunguke …Ndizi ina Rangi Gani ? Kitabu cha INUKA !!!!!!!

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, ukurasa mpya tena kuufungua wa kujifunza, kuanza, kujiboresha na kuishi, Mshukuru Mungu kwa pumzi na afya kwa kuona siku hii, si jambo la mazoea ni jambo la kuheshimu na kushukuru kila siku, shukrani ya kwanza ni kutunza na kuheshimu fursa ya muda, muda ni rasimali sawa kwa wote, …

Anza Mwanzo wa Wiki kwa Ushindi

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, leo ni siku ya pekee, pia ni mwanzo wa wiki kwa ajili ya kuendelea na majukumu ya kila siku, pumzi na afya mwilini mwako ni zawadi ya pekee toka kwa Mungu, Tumia nafasi hii kwa ajili ya kujifunza, kujiboresha na kujiendeleza kila siku. Mwanzo wa wiki umeanza na …

Bado Darasa la ‘Jifunze Kukaa Chini Kuhesabu Gharama’ Linaendelea

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, siku zinaendelea kuendelea, jiulize mpaka sasa ni hatua gani? Umesogea. Leo ni fursa tena ya kujaribu, kufanya, na kuanza yale unasema nitaanza, lini utaanza ? Kama sio leo ? Kesho ina mafumbo, leo iko mikononi mwako, ni maamuzi yako, Muda ni sawa kwa wote, matumizi ni kazi kwako, …

Design a site like this with WordPress.com
Get started