Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, leo ni siku ya pekee sana, shukuru kwa pumzi na afya kwa Muumba. Ukurasa mwingine umefunguliwa andika kitu maana ukifungwa huwezi tena kuufungua tena, jaza ukurasa huu mambo yanayounganisha hadithi yako nzuri ya maisha. Muda ni rasimali adimu haihuzwi popote pale duniani, ukipotea huna namna ya kurudisha upotevu …
Kabla hujasambaza Chochote fikiri haya Mambo 3
Habari Mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, leo ni siku nyingine mpya kabisa, kama jana uliiona leo mbali, leo ipo mikononi mwako, Mshukuru Mungu kwa uzima na afya tena ya kupambana na kuendelea na mipango na maboresho katika maisha yetu, Muda ni wa thamani sana tusije kusahau hili, na unaenda haurudi ukishapotezwa, Ni wajibu wetu …
Continue reading "Kabla hujasambaza Chochote fikiri haya Mambo 3"
SHAIRI: NASIKITIKA HADUMU, RAFIKI YANGU UJANA
Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, leo ni siku ya pekee tena katika kurasa nyingi za maisha, ni neema na shukrani kwa Mungu kupata siku njema kama hii, Muda ni rasimali adimu yenye ukomo hivyo ni muhimu kutumika vizuri kwa kuwa hakuna akiba wala nyongeza ya potezo la muda, anza vizuri siku yako ni …
Continue reading "SHAIRI: NASIKITIKA HADUMU, RAFIKI YANGU UJANA"
CHANGAMOTO ZINAZOKWAMISHA VIJANA TANZANIA KUTUMIA FURSA ZILIZOPO KUWEKEZA
Habari mfuatiliaji wa blogu hii, ni wakati mwingine wa kuendelea na tafakari juu ya maeneo ambayo kijana mtanzania anaweza kuwekeza katika karne hii ya 21, na ikawa ni chachu ya kusogeza gurudumu la maendeleo mbele, licha kuwepo na fursa hizi zipo changamoto zinazokwamisha vijana kuchukua hatua na kuwajibika katika kunufaika nazo Nikushirikishe machache kwa kuyaona kuwa …
Continue reading "CHANGAMOTO ZINAZOKWAMISHA VIJANA TANZANIA KUTUMIA FURSA ZILIZOPO KUWEKEZA"
MAENEO 10 YA FURSA KWA VIJANA TANZANIA KUWEKEZA
Habari mfuatiliaji wa blogu hii, leo ni siku njema na ya pekee ya kuendelea na mapambano katika malengo yetu na ndoto zetu, kuwa na pumzi ni neema ya kumshukuru Mungu sana, hivyo nafasi hii ya uzima si ya kupuuza, ila ni kuipa heshima kwa kutumia muda vizuri na kuwa chachu ya mabadiliko katika nyanja mbalimbali …
Continue reading "MAENEO 10 YA FURSA KWA VIJANA TANZANIA KUWEKEZA"
Nusu Ya Siku Na ya Mchango ni Wakati Jua halijazama
Habari mfuatiliaji wa blogu hii, nikupongeze wewe unayejitoa kutafuta maarifa kila siku, haijalishi kupoteza hamasa, au kuanza siku yako vibaya bado nafasi unayo ya masaa haya machache kumalizika, ukafanya kitu kikubwa cha kukusogeza mbele ya mafanikio yako, shukrani ya kuwa mzima na pumzi ni wimbo kila siku kwa Muumba na pia kwa wanaotuzunguka. Muda bado …
Continue reading "Nusu Ya Siku Na ya Mchango ni Wakati Jua halijazama"
Anza Siku Yako Kwa Shukrani
Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, leo ni siku ya pekee ni ukurasa wa maisha kufunguliwa, huenda haijulikani kabisa itaishaje leo?, maana kuna waliolala moja kwa moja, hivyo kuwa na pumzi si jambo dogo la kupuuza au kuona ni kawaida, bali ujae na shukrani ya uzima. Maana maisha yana thamani ikiwepo pumzi, na hukosa …
Nilichojifunza Katika Picha hii Maishani
Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, tunakila sababu ya kumshukuru Mungu kwa siku mpya na uzima tena, ni deni kwetu kutumia vizuri kila dakika ili kuendelea kuweka nguvu katika malengo yetu na ndoto zetu, leo ni fursa ya pekee ya kurekebisha makosa, na pia kuendeleza yaliyo mazuri kwa maisha yetu na jamii zetu, isisahaulike …
Vitendo Havikwepeki, Katika Mchakato wa Matokeo
Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, leo ni siku ya pekee sana kuitumia vizuri, mshukuru Mungu kwa pumzi na afya kwa ajili ya kutumia vizuri muda na kuleta matokeo, leo ni siku ya pekee sana usianze kwa kuchoka au kuona kuwa umeshindwa mapema mwanzo wa siku, usianze na hali ya kushindwa asubuhi. Ni siku …
Continue reading "Vitendo Havikwepeki, Katika Mchakato wa Matokeo"
Maisha Yakiwa na Kona, Ni Kona za Muda Safari acha Iendelee
Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, ni jambo la kumshukuru Mungu kupata siku ya pekee tena katika macho yetu kuiona, hatujawahi kuiishi hii siku, ni fursa kwetu katika masaa 24 tunayatumia kusogea katika malengo yetu, ndoto zetu na kazi zetu. Muda ni rasimali ya pekee ikipita leo hii haitakuja tena katika uso wako, hivyo …
Continue reading "Maisha Yakiwa na Kona, Ni Kona za Muda Safari acha Iendelee"