MAMBO 20 NILIYOJIFUNZA KUTOKA KITABU CHA MAPENZI BORA CHA MWANDISHI SHABAAN ROBERT

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, leo na wakati wa jioni hii nikupe hongera kwa pale ulipokusudia kufanikisha lengo zuri, liendeleze. Na pale ulishindwa nafasi ya kujipanga ni sasa. Mapenzi ni neno lenye kuleta maana nyingi kwa kadri ya mtu atakavyoliona, na huenda moja kwa moja kumfikirisha mtu kwa habari ya mapenzi yazalishayo familia …

Muda usinitoroke

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, nikupe hongera ya majukumu yako ya siku ulofanya, na pia jioni hii ikupe kujihoji na kujipima namna gani siku yake ilikwenda. Muda ni rasimali ya haki kwa kila mmoja, ni yale yale masaa 24 kwa watu wote. Utofauti namna ya matumizi yetu ndipo penye tatizo kubwa Tukumbushane kidogo …

Maisha ni Mbio Ndefu, Vaa Ujasiri Kila Siku

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, ni jambo la kumshukuru Mungu kuona siku mpya na kupata pumzi ya kuendelea kufanya yakutusogeza kiroho, kijamii, kiuchumi, kiuongozi na kielimu pia. Muda ni rasimali adimu haiuzwi popote pale ni nidhamu tu inayosaidia kuutumia vizuri ili kujiboresha kila siku. Hivyo muda ni wa thamani kubwa sana, kuupoteza ni …

Nusu ya Mwaka Imeisha, Umefikia wapi ?

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, kwanza shukrani kwa Mungu kupata nafasi nyingine ya pumzi na nguvu kuzitumia kwa ajili ya leo siku ya kwanza ya Mwezi Julai, hongera kufika mwezi huu na juhudi yako katika kusoma na kujifunza. Nikukumbushe muda ni rasimali adimu ya kuhitaji kuipa heshima na kuitunza na kufanya yale yakutusogeza …

Jipongeze Ulipoweza, Jihoji Uliposhindwa Mwezi Huu Juni

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, leo ni tarehe 30 ya mwezi huu wa sita. Kuna jambo la shukrani kwa Mungu kukuwezesha katika siku za awali na hata sasa ukingo wa mwezi huu. Nikupongeze kwa juhudi yako ya kujifunza kila siku katika blogu hii. Utakua umepiga hatua kubwa kama mwezi huu ulijitoa kwa kufanya …

HUWEZI JIDANGANYA MWENYEWE

Habari Mfuatiliaji wa Blogu hii kila siku, leo ni siku ya pekee haijawahi kuishiwa na mtu zaidi yako, kumshukuru Mungu ni wimbo wako wa kwanza uwe kuwa pumzi na afya uliyonayo ni ya kuitumia vizuri kwa ajili ya kujiboresha na pia kuishi vyema na wengine. Leo ni fursa nyingine ya kuweza kufanya unayosema nitafanya, fursa …

MAMBO 11 NILIYOJIFUNZA MWEZI JUNI NA SIKU CHACHE KUELEKEA KWISHA

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, ni wakati mwingine wa tafakari ya kuelekea mwishoni mwa mwezi wa sita, kama ulivyokua umeanza na sasa ukingo umeshafika wa mwezi huu kuishia, tukipata nafasi ya pumzi ni mlango wa mwezi wa saba kuingia, kuna mengi yakujifunza katika mwezi huu yalikuwepo, na kama uliweza kuwa na muda kufikiri …

USILEGEZE KAMBA KWA USHINDI MDOGO

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku.leo ni siku njema kabisa, pumzi na nguvu ni fursa tumeipata neno la shukrani ni la muhimu sana kwa Mungu, maana mambo yote yapo katika muda na pumzi, hivyo pumzi hii si ya kudharau na kuipa thamani ndogo. Ni fursa kubwa sana ya kuendelea na mipango na kuwa na …

THROUGH THE PATIENT’S EYES

MAMBO 15 NILIYOJIFUNZA KATIKA KITABU CHA THROUGH THE PATIENT'S EYES ( Kupitia Macho Ya Mgonjwa ) Eneo la afya ni eneo linalomgusa kila mmoja kama si kuumwa basi kulazwa na kama si kulazwa basi ni kumhudumia ndugu, mzazi au mtoto akiwa hospitalini, kina maelezo ya kina juu ya huduma za afya kwa mgonjwa akiwa hospitalini …

Design a site like this with WordPress.com
Get started