Kuona bado Kama tuna Muda Mwingi

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, hii ni siku nyingine kama ni kalenda basi ni tarehe nyingine tena, Shukrani kwa Mungu uwe ni wimbo wako kila siku kuwa hata kufika hapa ni neema na zaidi kuipa heshima siku ya leo kwa kuitumia vizuri na kuendelea na juhudi katika malengo yako na ndoto yako. Muda …

Kila Kitu kilianzia Chini, Usilaumu kipindi cha Ukuaji

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku tunayo kila sababu ya kumshukuru Mungu kuona siku mpya tena, hii itupe kuwa na vinywa visivyokauka shukrani kwa kuona siku mpya, hii ni siku ya pekee hakuna aliyewahi kuiishi hivyo ni muhimu kuipa heshima kwa kuutunza kwanza muda na pili kwa kujitahidi kufanya yale yanayotusogeza katika mipango yetu …

Usiruhusu Kauli “Bora Liende

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, ni siku nyingine tena zinazidi kusogea na muda unaenda kila siku hakuna namna ya kuurudisha nyuma, hivyo kamwe mida hauwezi kuchelewa labda itokee kujichelewesha tu kwa mipango na malengo yetu, ni jambo la kumshukuru Mungu kuwa Maisha ni Pumzi, na pumzi hii si ya bora liende au ngoja …

Leo ni Fursa, Itumie Vizuri Haipo nyingine

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, Ni jambo la kumshukuru Mungu kupata neema hii ya kuona siku mpya tena, siku mpya mfano wa ukurasa mpya wa kuandika kitu kwa uzuri, ni siku ambayo hujawahi kuiishi zaidi ya kuipata leo, leo ni ya kwako, hii ni zawadi ya pekee mno kuipa heshima na kuithamini kuwa …

Kuza Wigo wa Ubunifu

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, ni siku njema tena Mungu aliyotupa kuitumia vizuri na kuendelea kuijenga picha ya kile kila siku twakiwaza kukifikia. Leo ni kama tofali kuendelea kujenga nyumba tuitakayo. Pia ni fursa yako kubwa kujaribu na kutafuta suluhu ya mambo ambayo yamekua magumu kwenda, itumie vizuri sana na itumike kukujengea picha …

Unapojifunza Kutunza Muda, Huku Muda Ukipotea

Na Malenga wa Ubena Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, tunamshukuru Mungu kwa nafasi hii ya pekee kabisa kuona siku mpya na njema. Ni wakati wa kuitumia vizuri ili mipango yetu isogee hatua zaidi mbali na ilipokua jana. Na hii ni nafasi kama unayo pumzi na nguvu itumie vyema maana muda ni rasimali ya …

WIKI HII UMEJIFUNZA JAMBO GANI?

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, nikupongeze kwa muda wako unaotoa kujifunza kila siku, kila siku ni ya pekee na inapaswa kutumiwa vizuri. Maana ikipita hupita na kurudi huwa hairudi tena. Pole na majukumu ya wiki nzima tayari wiki moja imeshakatika na wewe ni shahidi wa mambo yako yalikwendaje kuanzia jumatatu hadi leo jumapili. …

Siku Hadi Siku Huwa

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku nikupe pongezi kujitoa kwako kila siku kujifunza na kupata kitu kipya cha kukusaidia katika maisha, maisha ni mtihani mkubwa unahitaji maarifa mengi ili kuyaelewa na kuishi katika kanuni ili kufika ngazi ya mafanikio yenye furaha na amani. Mungu ni mwema kutupa siku hii kuitunza na kuieheshimu maana ikipita …

Picha Ina Kumbukumbu

Habari mfuatiliaji wa blogu hii, nikukaribishe tena katika safari ya kujifunza kila siku, kuendelea mbele na safari ni sifa si mimea tu imeumbiwa, hata binadamu pia kusonga mbele ni haki yetu endapo nguvu itawekwa katika maarifa na kujifunza kila siku, haitakiwi kuishia njiani na kuacha lile uliloanzisha. Changamoto lisiwe jiwe kukuzuia na safari ya kusonga …

Design a site like this with WordPress.com
Get started