MAMBO 20 YA KUJIFUNZA KATIKA KITABU CHA "MY JOURNEY" Journey to the Land of Knowing Yourself na Mwandishi, Mhamasishaji na Mkurugenzi wa Kijani Kibichi Tanzania Adam Ngamange Kama zilivyo safari nyingine za kutoka eneo moja kwenda eneo lingine, vivyo vivyo kunayo safari ya kusafiri ndani yako kujua uwezo ulionao, vipaji au kipaji, majibu, vipawa na …

Ugumu wa Maisha Ulizalisha Wagunduzi, Ichangamotishe akili yako

Ilikua ni mada ambayo kila mtu aliaminishwa kuwa maisha yapo hivyo, na ikawa ni wimbo ambao kila mtu aliimba pasipo uhitaji wa chombo au vyombo, maana uliimbika, uliimbika na kila mtu nyumbani hadi njiani haikua ajabu ya wimbo huu, wimbo uliwasahaulisha matumizi ya ala za muziki, hata vyombo vya kuchonga vilishindakana katika eneo la wingi …

Ugumu wa Maisha Ulizalisha wagunduzi, ichangamotishe akili yako Ilikua ni mada ambayo kila mtu aliaminishwa kuwa maisha yapo hivyo, na ikawa ni wimbo ambao kila mtu aliimba pasipo uhitaji wa chombo au vyombo, maana uliimbika, uliimbika na kila mtu nyumbani hadi njiani haikua ajabu ya wimbo huu, wimbo uliwasahaulisha matumizi ya ala za muziki, hata …

Mabadiliko Si rahisi, ila Jitoe Mzima mzima

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, leo ni siku ya pekee tena umepata ikiwa ni fursa ya kuamua kutenda kama kuna jambo bado umekua unajishauri kufanya, lini utaamua kutenda kama leo unaona bado muda, bado sana, au ngoja nitafanya kesho namna hii hutakua unapiga hatua yoyote katika maisha yako. Mshukuru Mungu kwa kuwa ni …

Usiogope Kulipia Gharama kama Kweli umedhamiria

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, ni jambo la kumshukuru Mungu kupata siku ya pekee tena, hii inaendelea kukumbusha kuwa siku zinaenda na umri unasogea kila siku, hatua kwa hatua usipofanya leo usijetegemea fursa hii itaendelea kuwepo kila siku, wakati wako ni sasa kuamua na kutenda kama bado umekua unajishauri kufanya kitu fulani maishani. …

Maisha ni Pamoja Kuwa na Malengo

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku. Kila siku ni fursa ya kujiboresha na kujiendeleza zaidi, na wakati wa kutenda yale ambayo tulisema jana tungefanya. Leo ni ya pekee zaidi kutazamwa na kutumiwa vizuri, sababu ina mchango mkubwa wa ujenzi wa ijayo yako. Ipo sababu ya kumshukuru Mungu kwa uzima na pumzi tena kuona siku …

Jambo Moja la Kujifunza kwa John Stephen Akhwari

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, kila siku ni zawadi nzuri ya kufanya makubwa zaidi, iwapo pumzi na afya vipo ni nguvu tosha ya kuendelea kujifunza na kujiboresha zaidi kuifikia ndoto yako. Kujifunza ni chumba kikubwa sana kisichowezwa kujazwa leo kila siku ni nafasi ya kujifunza zaidi. Ni jambo la kuendelea kumshukuru Mungu sana …

KIPENGA CHA DAKIKA ZA KIPINDI CHA PILI CHA MCHEZO

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kwanza nikupe hongera kwa jinsi unatoa muda kujifunza na kuondoka na kitu cha kufanyia kazi, pili ni jambo la kumshukuru Mungu kuona nusu ya mwaka huu 2017 ikiwa tayari miezi mitano imepukutika na hakuna namna ya kurudi nyuma tena. Imebaki nusu nyingine tena ya kubadilisha sura ya mchezo endapo utajituma …

Endelea na Safari ya Kuupanda Mlima

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku. Kila siku ni zawadi ya kuitunza na kutumia muda vizuri ili kuyafikia malengo yako. Ashukuriwe Mungu atupaye uzima na afya nayo pumzi ishara tuna kitu cha kufanya siku ya leo. Haitakiwi kuona kama siku ya bure iende tu. Endelea kujifunza maana ndiko kutakokupa mabadiliko chanya na kusogea hatua …

Ogopa Kuwayawaya

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, ni neema yake Mungu kufika siku nyingine ikiwa na maana bado nafasi tunayo yakufanya makubwa na kujiboresha zaidi. Kila siku ni fursa kwetu kujifunza pasipo kuchoka, maana maisha ni darasa kubwa sana yanahitaji maarifa makubwa namna kukabiliana na changamoto na misukosuko ya maisha. Usiache kujifunza na kujiendeleza kila …

Design a site like this with WordPress.com
Get started