MAMBO 15 NILIYOJIFUNZA MWEZI MEI

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, kila siku huja na habari zake na zinaweza kuwa na athari chanya au hasi. Ni neema na jambo la shukrani kupata pumzi tena ya kuendelea kujifunza na kujiboresha kila siku ili muda unaopatikana utumike kukaribia ndoto zetu, malengo yetu na hata kazi zetu. Usiache kujifunza hata kama wakati …

Tunapoelekea Nusu Mwaka, Tenga muda kujikagua

Habari mfuatuliaji wa blogu kila siku, ni jambo la kumshukuru Mungu anayetupa nafasi kila siku ya kujikagua, kujichunguza hata kujisemesha mwenyewe namna gani? maisha yalienda au namna muda ulienda pia. Nikupongeze uliye na taratibu ya kukaa chini na ukajitathimini maeneo mbalimbali ya maisha yako, muda wa tafakari ya maisha ni wa muhimu sana kujua umefikia …

Wekeza Katika Matendo, Maneno Soko limeshuka

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, nikupe hongera sana kwa kutoa muda wako hapa ni sehemu sahihi haupotezi ila unawekeza kwa kuvuna sasa na baadaye. Mungu ni mwema katupa nafasi ya pumzi leo ili tutumie muda kujiboresha, kupambana, kusaidiana na kuishi vizuri na watu. Usiruhusu siku ipite hujafanya kitu cha kugusa maisha ya mtu …

Kila Siku Ona Unaikaribia Ndoto Yako

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, mafanikio yanajengwa na hili neno kila siku kama utaendelea kuweka juhudi utafika mbali sana, na vivyo vivyo usipoweka juhudi utaliona likipita na kisha mwaka au siku zikiisha unaanza kujilaumu. Ashukuriwe Mungu ambaye katupa nafasi tena ya pumzi ili tutumie muda vizuri na kujiboresha na kuendelea kujifunza. Safari ya …

Sura Ndefu Ya Stadi Za Maisha

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kadri siku zinapoenda kuelekea nusu mwaka panapo majaliwa utakua umesogeza hatua fulani, kama utazingatia chochote kile ambacho ni kwa kujiboresha kwako utasogea mbele zaidi. Pumzi ndio mtaji wetu wenye thamani duniani ukiwa na ambatanisho la afya, mshukuru Mungu kwa siku hii ya pekee isiende bora liende. Itumie kujenga na kujiboresha …

Zishushe Nyavu Tena

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, endelea kujaza kapu lako la maarifa kwa kujifunza na kutenda ulojifunza ndipo maisha yako yataanza kubadilika kila siku. Maarifa ni kama msuli kadri unavyofanya mazoezi na kuwa na nidhamu ndivyo unapopata matokeo utakayo. Usiache kufuata maarifa sahihi na kujifunza kila siku, Mungu ni mwema aliyetupa pumzi ili tuendelee …

HATA KUFELI NI SOMO LA MAFANIKIO

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku imekua siku njema tena Mungu katupa uzima na pumzi ili tuendelee kukamilisha na kuanza kutenda kwa yale ambayo tumeumbiwa kufanya. Ndio mwanzo wa Wiki lakini pia ndio Wiki ya mwisho ya mwezi Mei. Juzi juzi tulikua mosi ya mwezi huu na sasa tuko ukingoni tukielekea nusu ya mwaka. …

HUNA SABABU KURUDI NYUMA

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, kujifunza kuna faida sana ni uwekezaji mzuri sana utakaokulipa ukashangaa mwenyewe. Tunayo kila sababu ya kumshukuru Mungu kuona siku mpya tena, ikiwa ni wiki ya tatu ya mwezi uloanza na sikukuu ya wafanyakazi duniani. Kila siku ni fursa mpya kwako ya kufanya, kuanza au kuendelea kujiboresha zaidi. Anza …

TAFAKARI YA WIKI

Njia bora ya kujiboresha kila siku ni kujitathimini sana kwa kuyatazama maisha yako. Pole na majukumu ya siku na pirika pirika za Wiki yako, usiache kujitathimini kuangalia wapi pa kuboresha, wapi pa kuongeza hii itakusaidia sana kuwa wa tofauti kila siku Nikutakie wakati mzuri sana, tafakari ni njia pekee ya kujiboresha kuyatendea kazi yale ambayo …

Design a site like this with WordPress.com
Get started