aaaah kicheko kina raha yake sana hasa kama ni kicheko cha kweli na kitokacho ndani, Uhali gani ? Rafiki, ndugu na mfuatiliaji wa blogu hii, siku mpya hiyo imeingia uwanjani kama mpira ndo kipenga kimepulizwa mchezo uanze. Shukrani na moyo wako kama mchezaji basi usisahau kuwa kuna nguvu imekufanikisha umeamka mzima kwa ajili ya kufanya …
UTALII WETU WA NDANI
Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku. Njia pekee ya kutoka ulipo na kwenda hatua nyingine ni kujifunza hakuna njia ya mkato eneo hili. Kuona siku hii mpya na kuusoma ujumbe huu ni ishara ya pumzi kuwepo, usiache kumshukuru Mungu kwa fursa ya uhai na ukapata namna nzuri ya kuipa heshima kila dakika iondokayo katika …
HAKUNA ATAKAYEKIPENDA CHAKULA KIKIWA JIKONI
Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku ni siku mpya tena kama unayo ile nidhamu ya kuendelea na mpango au maono yako basi ni fursa nyingine tena ya kuitumia vizuri kabisa. Moyo wa shukrani ni muhimu kwa hili kuona ni nafasi ya kuwajibika tena. Muda ni bidhaa yenye thamani sana ila wengi huiona ya kawaida …
Continue reading "HAKUNA ATAKAYEKIPENDA CHAKULA KIKIWA JIKONI"
MAMBO 10 YA KUJIFUNZA KUTOKA KITABU CHA SHABAAN ROBERT (Maisha Yangu na Baada Ya Miaka Hamsini)
(MAISHA YANGU NA BAADA YA MIAKA HAMSINI) Mchambuzi Raymond Mgeni karibu msomaji ujifunze, Huenda kuwa nadra sana kujua urathi wa maandishi ya huyu aliyewahi kuwepo na tulipewa zawadi ya kutokunyimwa sura na maandishi yake katika fani ya uandishi wa nathari na hata pia kalamu ya kuzitunga beti zenye uhai wa muda mrefu toka aondoke katika …
YASO KARATASINI ILA YAPO SHAMBANI
Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku ni neema kubwa sana kuona siku mpya tena, hii ni ishara bado kunayo nafasi ya kufanya makubwa hata kama siku zilizopita zilikua ngumu na pengine hukufanikiwa kabisa. Ila leo uamuzi wako ukiamua kufanya na kufanikisha inawezekana kabisa. Nao muda ni sasa wa kutenda Karibu viumbe vyote vinategemea utajiri …
JIWEKEE UTAMADUNI WA KUANGALIA WIKI YAKO ILIENDAJE ?
Habari ndugu mfuatiliaji wa blogu au maandishi haya. Kujifunza si kupoteza muda bali ni kuukomboa wakati wa sasa na hata ule wa baadaye. Wiki huenda ilikua tofauti kwa kila mmoja wetu, kwa kile ulichotamani kufanya ukashindwa kufanikisha au ulijaribu ukafeli, au pengine ulikua mshindi pia kwa kuendelea kujifunza kutokana na yale ulokosea Uwanja wa kujiboresha …
Continue reading "JIWEKEE UTAMADUNI WA KUANGALIA WIKI YAKO ILIENDAJE ?"
VIPE MUDA MAANA SIKU VITAONDOKA, HESHIMU VIKIWEPO
VIPE MUDA MAANA SIKU VITAONDOKA, HESHIMU VIKIWEPO Habari ndugu mfuatiliaji wa blogu hii naamini kuna kitu kwa pamoja tunajifunza ili maisha yetu yazidi kuwa bora na yenye kujaa shukrani. Kuona siku ambayo hukujua hata utaifika ni jambo la kumshukuru Mungu kuwa ni neema umeona na hii ikupe kuithamini sana maana hakuna uhakika sana kwa Habari …
Continue reading "VIPE MUDA MAANA SIKU VITAONDOKA, HESHIMU VIKIWEPO"
FURAHA YA KUMALIZA KAZI
Habari mfuatiliaji wa blogu hii, nikupe hongera kwa kutoa muda wako na kuona vyema kujifunza kila siku. Maarifa ni tiba ya matatizo mengi, hatua yako ni ya thamani usiache kujifunza kila siku katika vitabu, semina, kwa watu na makala au blogu. Leo ni siku ya pekee kabisa tunamshukuru Mungu kwa uzima na afya, nenda kuzingatia …
NJIA ZA MKATO
Habari mfuatiliaji wa blogu hii pole na hongera kwa majukumu ya kila siku. Ni siku mpya kabisa tena ya kufanya kile ulichokipanga kufanya. Ukiwa na pumzi ni jambo la kumshukuru Mungu hivyo itumie vizuri katika kufanikisha kusudi la kuumbwa kwako.Niwie radhi kwa siku tata zilizopita palikua pakavu pasipo kutuma jumbe zozote zile, ni sababu zilizokuwa …
USIKU UNAPOINGIA
Habari mfuatiliaji wa blogu hii, bila shaka umekua na siku nzuri na hata kama mambo hayakwenda vizuri bado nafasi ipo ya kuweka sawa ikiwa pumzi na afya ipo mwilini. Siku huanza vizuri mwanzoni kama ukiamua kuanza hivyo, na isipokuja taraji basi nayo huwa ni heri. Nikupe hongera kama kuna jambo ulitegemea kufanya na umefanya, na …