LEO IMEKUFUNDISHA NINI ?

Habari mfuatiliaji wa blogu hii, kama hii siku asubuhi ulipata kupanga mipango yako na ulijisemea kuwa jioni ikifika nitakua nimekamilisha basi wakati huu ni wako wa kutafakari siku ilikwendaje. Pengine sio utamaduni wa watu wengi sana kutafakari jioni namna ya siku zao zilikua Tafakari ya mambo uliyojifunza kwa siku nzima ni afya kwa eneo la …

UPANDE WA MAISHA ULIOSAHAULIWA

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, ni siku ya kipekee kabisa kuwa na afya na uzima. Maana sio wote waliolala wakaweza kuamka na ambao waliamka wakashindwa kuvirudi vitanda. Hivyo moyo wako ujae sifa kubwa kumshukuru Mungu kwa kutupa nafasi ya pekee tena kuitumia na kuiishi kwa ukamilifu. Dakika au li saa ni la thamani …

ULIMWENGU WENYE KELELE, UNAHITAJI UTULIVU WA FIKRA

Habari ndugu na mfuatiliaji wa makala hizi kila siku, kama ungelikua umelianza jambo ulilosema toka miaka mingi sasa ungekua uko mbali sana. Ya jana yaache yapite maana huwezi kuirudisha. Ila Leo ni yako ya kufanya kitu na kuishi katika shukurani kuwa ingali ipo pumzi na afya ya kuendelea kuitumia siku vizuri. Hakuna kipindi ambacho kimekua …

UKITAKA KUPENYA UTAKUTANA NA VIHUNZI, USIRUDI NYUMA UWE TAYARI KUVIRUKA

Habari ndugu mfuatiliaji wa makala hizi kila siku, Leo ni siku nyingine tena ya pekee. Bado inakupa nafasi ya wewe kufanya yale ulosema nitafanya, ufanye Leo. Jukumu bado ni lako kubeba ili maisha yabadilike, hakuna mtu aliyeumbiwa kuyabeba majukumu yako kwamba akuwazie, ukuwekee mipango na aifanye ni ngumu. Isipite bure tu pasipo kufanya jambo lenye …

UNA KITU CHA PEKEE, WEWE KAMA WEWE

Nikusalimu kwa salamu ya asubuhi ndugu mfuatiliaji wa blogu hii katika kuendelea kujifunza kila siku, Ni siku bora Leo kwako ukiamua iwe hivyo. Jukumu la kuitumia kwa uzuri ni la kwako. Mungu alimuumba mwanadamu kwa namna ya ajabu sana, akawekeza upekee kwa kila mmoja wetu. Ili kutumika si kwake tu ila kwa ajili ya kuwahudumia …

HATUA MOJA KILA SIKU NI KUBWA MUDA UKISHAPITA

Na Raymond Mgeni Habari ndugu mfuatiliaji wa makala hizi kila siku, tunayo kila sababu ya kumshukuru Mungu kupata siku mfano wa karatasi mpya inayohitajika kuandikwa vizuri. Ni siku ya pekee kabisa hukuwahi kuiishi na pengine usijue yatakayozalishwa Leo kwako na dunia kiujumla, moyo wa shukurani liwe vazi lako kila siku iwe ni wakati wa joto …

KUNA NYAKATI HUTAELEWEKA

Habari ndugu na rafiki mfuatiliaji wa makala hizi kila siku, hii ni siku ya pekee sana maana hujawahi kuiona, ni Leo tu unayo ikipita haitajirudia tena, hii itukumbushe kuwa tuna kitu kinatakiwa kufanyika tena kikubwa chenye maana na thamani kwako na jamii yako pia. Ni kawaida hata kwako mwanzo wa jambo kulidharau na pengine kuliona …

KUNA WATU WALIPITIA UNAYOPITIA, JITIE MOYO UPENYO UPO

Habari mfuatiliaji wa makala hizi kila siku, ni jambo là kumshukuru Mungu kuona siku mpya tena, Ni neema kubwa sana na ishara kuwa ni kuitumia vizuri kwa kutunza dakika kwa ajili ya kufanya yale ya kiuzalishaji na manufaa kwako na jamii kwa ujumla, Siku zinajongea kila siku inahitaji hekima kuishi vyema na kutopoteza muda. Ikumbukwe …

MWANZO WA MWEZI ANZA HIVI

MWANZO WA MWEZI ANZA HIVI Habari mfuatiliaji na msomaji wa makala hizi kila siku, ni jambo là kumshukuru Mungu kuwa ndio mwanzo wa mwezi huu umeanza, ikiwa ni siku ya wafanyakazi duniani, dhamira kubwa juu ya Kazi. Kazi ni msingi wa jamii bora na yenye Maendeleo makubwa. Msingi wa jamii yoyote yenye kufanikiwa sana basi …

Design a site like this with WordPress.com
Get started