Habari ndugu mfuatiliaji wa makala hizi kila siku, ni siku mpya tena tumepata ikiwa ni siku ya pekee Kabisa, na siku kama hii pia ni siku muhimu kwa mkristo kutafakari ushindi pale msalabani,. Licha ya kuwepo haya yote, Leo Ni siku yenye kusudi na imebeba kitu kwa ajili ya siku baada ya Leo kuwaje? Inawezekana …
ENDELEA KUJITUMA
Habari mfuatiliaji wa makala hizi, siku imekuja tena mpya na inakuja na mambo yake pia, kikubwa ni kuwa umepewa siku ambayo bado haijatumika, maamuzi ni yako namna ya kwenda kutumia na ukafanya kitu kizuri ifikapo mwisho wa siku, kwanza anza kwa shukrani kwa fursa hii Mungu kakupa tena Mwili wa mwanadamu umeumbwa kwa namna ya …
GHARAMA ZA MATIBABU
Habari ndugu na rafiki wa makala hizi, ni siku mpya tena ya pekee kwenda kufanya kitu kikubwa na cha thamani, siku isipite tu bure ujafanya kitu cha maana kwako na wakuzungukao Kama ni eneo ambalo linamgusa kila mmoja aijalishi umri wake, cheo chake, hadhi yake ni eneo la kuumwa, kila mmoja huguswa hapa. Kwa kuwa …
UTASIMULIA NINI?
Habari ndugu mfuatiliaji na msomaji wa makala hizi kila siku. Ni jambo la neema na shukrani kuona siku nyingine mpya na njema Sana hii inakupa nafasi ya kuendelea pale ulipoishia jana na kusonga mbele. Masimulizi ni moja ya sifa kubwa Sana kwa jamii za kiafrika, ilikuwa ni kawaida wakati wa jioni bibi au babu waliweza …
SIKU LAZIMA IISHE
Habari mfuatiliaji wa makala hizi kila siku, u hali gani? Kiafya na kifikra ni wakati mwingine, siku mpya tusoijua itaenda kuzaa mambo gani, jambo moja tulopewa ni kuwa na tumaini licha hatujui kitakachotupata dakika au saa zijazo huwa tuna tumaini tutafika tu kwa kuamini Mungu muweza yote atatufikisha Moja ya jambo ambalo huwa ni gumu …
HAZINA I KITABUNI
Habari ndugu Yangu na mfuatiliaji wa makala hizi kila siku, tunayo kila sababu ya kumshukuru Mungu kutupa siku mpya tena, imekuja kwa kusudi na hivyo ni wajibu wetu kuitumia vyema nakufikia malengo ulojipangia katika siku Kuna huu msemo usemao ukitaka kumficha mwafrika basi ficha kitu katika kitabu, huenda ni kweli lakini sitaki kuendelea nami kuamini …
HII NI KAZI NGUMU KULIKO
Habari ndugu mfuatiliaji na msomaji wa makala hizi, siku zinasogea Sana ukitaka kujua sinasogea siku sio nyingi kuna sikukuu ya werevu ilikuwepo na wengi waliitumia ikapita, Leo ukiangalia saa au kalenda yako inakuambia siku zinaenda. Swali ni nini unakifanya wakati muda unajongea na kuondoka Mtu akiambiwa Kazi basi moja kwa moja hujifikirisha kuhusu kuwa daktari, …
MAISHA HAYANA MARUDIO
Habari mfuatiliaji wa makala hizi, ni siku nyingine mpya ambayo Mungu katupa tufanye kitu fulani na sio siku iende tu. Maana ikipita imeshapita hakuna siku za marudio Imekua kawaida endapo kama ni mtihani umefeli basi unaweza pewa nafasi ya kufanya marudio, au kama ni shughuli umelipua unaweza ipata nafasi ya marudio Lakini sio eneo la …
ACHA KULIA, JAMBO LAKO LA MUDA
ACHA KULIA, JAMBO LA MUDA TU Habari ndugu msomaji wa makala katika figa la ushairi, katika maisha umewahi siku kutoa chozi laweza kuwa ni furaha au huzuni. Ila kulia ni jambo ambalo limegusa karibu kila mtu duniani kwa wakati wake alijikuta akitoa mchozi Ni siku mpya nyingine tena Mungu katupa ni kama kurasa za kitabu …
KAMA INGEWEZEKANA
KAMA INGEWEZEKANA Kama ingekuwa inawezekana kukwepa, ningelikuwa mmoja wapo. Na kama ingekuwa ni kwa kulipa ningelienda machimboni nipate madini nilipe, ingekuwa ni kwa kufanya matendo mema ningejitahidi nifanye Sana, na kama ingekuwa kuna hongo pengine ningeshawishika kutoa, lakini huu ni mtihani ambao kila mmoja atafaulu awe, uwe, niwe nimesoma nitafaulu. Kifo kimebeba ndoto nyingi, nyimbo, …