Agosti 04- Jua mambo yanaweza kuwa tofauti na unavyodhania Mwezi huu nipo nasafiri katika uwanda wa ngazi nne za uwepo. Ngazi ya hisia, mwili, kiroho na kiakili ikiwa ndio safari kamilifu maishani ya kutembea yenye kuzalisha maisha imara na bora. Unaweza kuwa imara kimwili lakini ukikosa uimara wa hisia, kiroho na kiakili bado unakuwa mtu …
Continue reading "Unaumia kihisia kwa matarajio unayodhania- Uhalisia mambo ni TOFAUTI"